Michael Amon
JF-Expert Member
- Dec 22, 2008
- 8,775
- 3,591
- Thread starter
- #21
i will work on it...it seems very good to me..thank you
You are welcome. I hope its going to help you.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
i will work on it...it seems very good to me..thank you
It seems like a bit too late for me to work it out,oo bro am trapped,too late for me, trying to move my feet without making any noise, at first it was like I can't feel the heat inside of him,but now the picture is so clearly with its reality I HATE HIM so much,but there's no way out at this particular time,locked in with the chains of gold!! My proud is now turned to grief,wish you were there when the bomb was still tickin. Sina ujanja mkuu.
kijana usihangaike kuuzunguka mbuyu. Jiangalie wewe jinsi ulivyo ukiwa peke yako na wakati ukiwa na mwenza wako halafu angalia utofauti wa uhalisia wako katika hali hizo mbili. Kama unajiona almost upo vilevile na lifestyle yako halisi mnapokuwa wawili basi huyo ndiye anayekufaa maishani. Live as who you are.
kijana usihangaike kuuzunguka mbuyu. Jiangalie wewe jinsi ulivyo ukiwa peke yako na wakati ukiwa na mwenza wako halafu angalia utofauti wa uhalisia wako katika hali hizo mbili. Kama unajiona almost upo vilevile na lifestyle yako halisi mnapokuwa wawili basi huyo ndiye anayekufaa maishani. Live as who you are.
You are welcome
Atleast umeonyesha uhalisia wa thread yenyewe maana maelezo ya muanzishaji bado ni mepesi sana na bado yanaelea hewani na isitoshe baadhi ya comments zake jinsi ya kuchunguza not applicable to some situations.
Asante mkuu kwa simple test ambayo mtu anajipima na inakupa picha ya kweli.
summary inapatikana?:thinking:
Na je,endapo niko kwenye ndoa na pengine pengine tumebhatika kupata mtoto mmoja ama wawili. Nimeishi na huyo mwanamke nikaona hafundishiki,hapendi ndugu pamoja na wazazi wako,marafiki zako hapendi hata kuwasikia. Nini mapendekezo yako?
mie hayo macho yako tu............................tatzo mdogo kwangu na mie sivifagilii viserengeti,ningeshakutokea siku nyingi lol
Mkuu ndio ukweli halisi huu, unajua watu wengi huwa wanashindwa kuitambua hii siri na matokeo yake ni ndoa ndoano. Ishi maisha yanayokupendeza mwenyewe na si maisha ya kumfurahisha fulani
Mkuu nadhani hatujaelewana. Hivi kuna mahali ambapo nimeandika kuwa mtu anapaswa kuishi maisha ya kumpendeza mtu flani? Embu soma kwa makini na utafakari kabla ya kutoa maoni yako. Be a great thinker.
umeshindwa kuconnect dots. it's response to SaidAlly tumeelewana na huyo ndugu tunachokizungumzia. over
bro big up but napenda kutoa angalizo ilo tu litawezekana kama utamshilirikisha mungu kwani yeye ndo anajua hatima yetu