Mambo ya kuzingatia katika kuchagua mwenza wa maisha

You are trying to be a theorist. With many emotional gaps in your boyish composition above, I perceive you as an erratic and immature author.

However, keep trying.
:scared:
sio lazima kila kilichosemwa kiwe sahihi kwa kila mtu, akili za kuambiwa changanya na za kwako! sijaona immaturity yake iko wapi, amesema anachoamini yeye ni sahihi
 
Umesahau kuna Familia Unaenda kuoa ni Masikini kiasi kwamba wewe ndo unakua Mkombozi Mashemeji mama mkwe baba mkwe kila siku wapo kwako I hate this kuna binti mmoja nilimpendaga lakini baada ya Kuona hili niliachana naye fasta
 
Swala la hali ya kiuchumi kwangu mimi sioni kama ni jambo la msingi sana. Unachopaswa kuangalia ni discipline ya hao ndugu zake wanaomzunguka. Je watakupokea na kukuheshimu kama ambavyo wangempokea na kumheshimu mtu ambaye angekuwa na hali duni kiuchumi? Au ndo watafurahi na kusema mkombozi ameshuka wa kututoa utumwani na kuanza kukukamua kama ngómbe wa maziwa?

Ukiona ndugu zake wanao mzunguka wanathamini vitu zaidi kuliko utu, basi ujue hiyo familia ni ya kukwepa kama ukoma.
 
Umdhaniae siye kumbe ndiye. Kama huamini ni mimi ndiye niliyeandika, search on the google uone kama utapata kitu kama hiki. Dont judge a book by its cover.
We kaka muongo
Ni vyema kutaja mmiliki wa mawazo katika uandishi

Source ya haya material uliyoandika ni kitabu cha 'Adventist Home' mwandishi Ellen G White
Chapter ya 3 ya 'Choosing a Life Partner'

Nmesoma cha Kiingereza ambacho kilishatafsiriwa pia....
Kama unabisha ntaibuka na ushahidi sasa hivi
 
We dada hupati mume humu, huna heshima , kuvuana nguo hivo vipi?
We kaka muongo
Ni vyema kutaja mmiliki wa mawazo katika uandishi

Source ya haya material uliyoandika ni kitabu cha 'Adventist Home' mwandishi Ellen G White
Chapter ya 3 ya 'Choosing a Life Partner'

Nmesoma cha Kiingereza ambacho kilishatafsiriwa pia....
Kama unabisha ntaibuka na ushahidi sasa hivi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waungwana bado kichwa hakijui nichague mwanamke wa namna ipi!!,tukiachana na mambo ya muonekano wa mwanamke (napenda mwanamke mzuri kiumbo na tupozi fulani twa kipeke yake😜).. tukiachana na hayo ya umbo..

Je,ni vigezo vipi vya kuangalia ktk kuchagua mwanamke wa kuoa..?
Maana naona nyotanyota tu😜😜
 
mimi msichana wangu ni mlevi tunakesha naye bar hadi alfajiri tunakokotana hadi home.
halafu uje niambia eti nimuache,kweli?? wenyewe tunapendana kishenzii jinsi tulivyo,kuliko hata hao wadini dini
 
mimi msichana wangu ni mlevi tunakesha naye bar hadi alfajiri tunakokotana hadi home.
halafu uje niambia eti nimuache,kweli?? wenyewe tunapendana kishenzii jinsi tulivyo,kuliko hata hao wadini dini

Waswahili wanasema "Ndege wanao fanana ndio huruka pamoja." Kwa ktumia msemo huu nadhani utakuwa umenielewa namaanisha nibi hapa.
 
yani bado haujaowa ..you joined JF 2008...mpaka 2020....tayari umedumu humu kwa miaka 12...unasubiri nini au bado haujapata mwenye hizo sifa zako 1000+

kama hizo ndio criteria zako utasubiri sana..

Good things usually come at the right time and not at the time that we want them to come. So lets just say that I'm remaining patient and waiting for the right woman to come into my life.
 
Good things usually come at the right time and not at the time that we want them to come. So lets just say that I'm remaining patient and waiting for the right woman to come into my life.
Kumbe Kuna Wanaume walio na uvumilivu wa kusubiri. Hebu niendelee na msimamo wangu...maana kutwa kucha watu ni kunishangaa tu why the waiting

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom