mambo ya kupeana maradhi haya hapo kama Mtu anaumwa TB si balaa wajameni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

mambo ya kupeana maradhi haya hapo kama Mtu anaumwa TB si balaa wajameni

Discussion in 'Jamii Photos' started by MziziMkavu, May 9, 2012.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  May 9, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,615
  Trophy Points: 280
  [​IMG]

  mambo ya kupeana maradhi haya hapo kama Mtu anaumwa TB si balaa wajameni
   
 2. mwaJ

  mwaJ Tanzanite Member

  #2
  May 9, 2012
  Joined: Sep 27, 2007
  Messages: 4,076
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Balaa si kidogo
   
 3. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #3
  May 9, 2012
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,757
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  Hiyo Mirija ya Kisasa ina ile kitu inayoitwa... NON RETURN VALVE!
   
 4. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #4
  May 9, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,963
  Likes Received: 1,852
  Trophy Points: 280
  wanafanya nini hawa mtambuzi?
   
 5. Kombo

  Kombo JF-Expert Member

  #5
  May 9, 2012
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 1,819
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Dawa za asili za kuzuia TB huwekwa humo humo, kwa ivo hakuna tatizo hapo.
   
 6. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #6
  May 9, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,869
  Likes Received: 6,608
  Trophy Points: 280
  Chimpumu ya Mbeya?
   
 7. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #7
  May 9, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Ni shisha hilo???
   
 8. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #8
  May 9, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Hapo uwezekano mdogo ukilinganisha na ile ya mdomo kwa kopo (ya kichaga,lol)
  Ila unadhani kwenye daladala, bus na worse enough kwenye ndege ambapo hakuna hewa mpya unakutana na tb ngapi? Your own immunity inakulinda.
   
 9. LexAid

  LexAid JF-Expert Member

  #9
  May 9, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 1,950
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Sickkkkkkk!
   
 10. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #10
  May 9, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,326
  Likes Received: 1,792
  Trophy Points: 280
  Haaahaa! Is there such a practise in Mbeya? Au mmefananisha tu
   
 11. tz1

  tz1 JF-Expert Member

  #11
  May 9, 2012
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 2,118
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  kwenye starehe ugonjwa na kifo ni sawa na "inzi kufia kidondani'
   
 12. Zamaulid

  Zamaulid JF-Expert Member

  #12
  May 9, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 16,348
  Likes Received: 6,698
  Trophy Points: 280
  tumekuwa tukitumia hii kwa miaka nenda rudi na hakuna kitu kama TB huku!
   
 13. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #13
  May 9, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,335
  Likes Received: 2,659
  Trophy Points: 280
  [​IMG]


  huyo jamaa wa kushoto kabisa sijui hata kama anasikiliza wenzie wanachojadili!!!
   
 14. zimwimtu

  zimwimtu JF-Expert Member

  #14
  May 9, 2012
  Joined: Mar 7, 2012
  Messages: 1,889
  Likes Received: 621
  Trophy Points: 280
  hii ni hali ya kawaida vijijini, wala hakuna anaeugua. God takes care of them
   
 15. Bitende

  Bitende Member

  #15
  May 9, 2012
  Joined: Aug 20, 2011
  Messages: 33
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ukulyani huko ndo pombe ya heshima lazima inyweke hivo
   
 16. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #16
  May 9, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,670
  Likes Received: 82,493
  Trophy Points: 280

  ....Huu ni uchafu wa hali ya juu :puke:ambao bado unafanyika katika mikoa mingi nchini...EWWWWWWWWW! YUCK!!!!
   
 17. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #17
  May 9, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,670
  Likes Received: 82,493
  Trophy Points: 280
  Best King'asti hiyo ya mdomo kwa kopo nimeshaiona pia katika mikoa mingine mingi....watu wanakaa mkao wa kula halafu kopo linapitishwa kwa kila mtu akimaliza kuweka mdomo wake anampasia mwenzie :puke:na shughuli inaendelea hivyo mpaka kopo limalizike kisha huagizwa kopo lingine.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 18. Nyalotsi

  Nyalotsi JF-Expert Member

  #18
  May 9, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 5,104
  Likes Received: 551
  Trophy Points: 280
  huu ni ulanzi,piga ua! Hapo haambukizwi mtu tb. Ni safe than kwenye daladala au kwenye mikutano ya injili na kampeni.
   
 19. Mwana Mtoka Pabaya

  Mwana Mtoka Pabaya JF-Expert Member

  #19
  May 9, 2012
  Joined: Apr 22, 2012
  Messages: 11,744
  Likes Received: 8,007
  Trophy Points: 280
  Chimpumu hiyo. Sumbawanga hoyeeeeee!

  Sasa wewe jifanye ndio mstaarabu saaaana usinywe uone kama hukurogwa
   
 20. N

  Nyuki baby Member

  #20
  May 9, 2012
  Joined: Feb 24, 2012
  Messages: 85
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Chimpumu hiyo ya mbeya hapo ishawekwa maji ya moto!!
   
Loading...