Mambo ya kuoshwa dawa kwa mganga!


Kasie

Kasie

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2013
Messages
12,753
Likes
12,548
Points
280
Kasie

Kasie

JF-Expert Member
Joined Dec 29, 2013
12,753 12,548 280
Shurti uje na ndo yako.....

Aka kikombe cha Babu Loliondo......

Mwaka huu natamani kufika Loliondo nikatalii tuu...... sina hata nnayemjua huko.....
 
Mr. Django

Mr. Django

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2014
Messages
1,790
Likes
1,963
Points
280
Mr. Django

Mr. Django

JF-Expert Member
Joined Jul 25, 2014
1,790 1,963 280
aggyjay

aggyjay

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2015
Messages
4,483
Likes
7,094
Points
280
aggyjay

aggyjay

JF-Expert Member
Joined Feb 16, 2015
4,483 7,094 280
Halafu huyo jamaa huwa anafanana kabisa na yule wa Mizengwe, ana mikwara mingi

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli wanafanana...
Wale wote wanaodaiwa kodi sharti hakuna kutumia choo
Mpangaji anajisaidia kwenye rambo then anaenda kulitupa nyuma ya nyumba
Faza hauzi anaitwa eneo linatoa harufu kali.. Kufika wapangaji wote wanakusanywa wanaulizwa hii mifuko ya nani.. Kila mmoja anaruka sio mimi halafu
Muhusika hayupo kaenda mjini
Faza hausi ndo anaamua anapima umbali alipokita huo mfuko.. Alie nao karibu na dirisha lake ndo wake

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Forum statistics

Threads 1,249,911
Members 481,154
Posts 29,714,608