Mambo ya kumtuliza mumeo asitoke nje ya ndoa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mambo ya kumtuliza mumeo asitoke nje ya ndoa

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Pdidy, Sep 13, 2010.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Sep 13, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,449
  Likes Received: 5,700
  Trophy Points: 280
  uzembe
  punguza uzembe kwenye ndoa yako.unaweza ukafanya uzembe kidogo ukajikuta umepoteza ndoa yako ama kuiingiza kwenye matatizo makubwa

  majibu mabaya
  wengi wanajuta baada ya kuongea ;;mdomo tunaona ata kwenye biblia unaumba...mtu atakufa kwa mdomo wake..mdomo unaleta uzima ama mauti..unaweza kutoa jibu la siku moja likaguurimu ndoa yako maisha yako yote....wapo wanaoogulia si kwa kupigwa bali kwa kiile walichoongea..kuna mjomba wangu mmoja alikuwa mlevi sana akaanza kupunguza akaanza kurudi saa tano usiku...mkewe akawa akimwona anafoka sana na kutukaana siku moja akamwambia na kuanzia leo nakwambia uiishie uko uko bara kwa ma***a zako baba si haba alikuwa anajali familia akawa akifika anawka hela kwenye bahasha anarusha ndani ya ukuta anarudi zake...mpaka leo hii yule aunt anasali kama chizi lakini majuzi akaambiwa unatakiwa kuwa makini na unachoongea....akaambiwa wakati mwingine unatakiwa ikugarimu ili uondokane na matatizo yako..akaambiwa ulichoongea inabidi ukaombe msamaha kwa mumeo........,ndipo yataisha matatizo yake..so unaweza shinda kanisani kumbe unaitaji kusafishwa kwanza......,angalia usipoteze ubora wako kwa ajili ya mdomo,
  ndugu mmoja alimwambia mumewe na kama umeshindwa kuninunulia gauni silali na wewe kila mtu alale kwakwe ...hee hee loh shetan akalichukua kama lilivyo na leo hii mama alikuwa wa kwanza kukimbia nyumba mzee akaanza kulala chumba kingine baada ya muda house geli akawa makao yake..

  Mith 6:2

  kutokuomba msaamaha

  kol 3:13
  msamaha ni jambo muhimu sana ktk nyumba,kama mwanamke unaitaji kukaa kwenye ndoa yako huna budi kuwa makini kuomba msamaha hata kama umekosea..hali unakuja kumwambia mumeo mkiwa kwenye hai ya furaha unajua wewe ndie ulikosea pale hny..mwombe mungu afungue kinywa chako kukuwezesha kuwahi kuomba msamha..hali hii iwe kwenu wanaume pia...  matumizi mabaya

  wengi wanajisahau sana linapofika swala la matumizi;watu wanawake wengi wameshindwa kuwa na msimamo kwenyye matumizi na hasa pale wanapoona hela ziko mezani....jaribuni kuwa na ratiba za matumizi...si tu hela imeonekana unanua ambacho hata kisichofikiriwa...wanaume wengine awwana uvumilivu jamani..kuwenim makini na hili.......
  Msipoteze ndoa zenu ni ghaarama kupata nyingine


  kufanya majukumu yako kwa muda muafaka:

  labda niseme wazi awa nyumba ndogo akuna uchawi wanaoufanya..wanachofanya ni kujua nini cha kumfanyia mumeo aweze kumfikiria kila siku maishan mwake na kukusahau wewe...kuna mambo mengi muhmu kama mwanamke kumbuka kumfanyia mumeo kwa wakti...wapo wanaume wengine haapa jf wanakula saa tano nanusu usiku.... Wapo wanaokula chakula cha mchana kuminamoja eeh najua wewe

  jaribu kujua muda gani uwe ushafua nguo za mumeo.kupika chakula..kosa kubwa mnalofanya lingine hili siiwaachi ni kumwachia housegirl anakutandikia chumban jamani jamani hata kama unaamka saa kumi usiku...ole nasema ole..majuto mjukuu wapo walijaribu wakshindwa kuzirudisha ndoa zzao zinapotakiwa mpaka leo ..si mpaka pdidy apige kelele chakla chakla...namshukuru mungu kwa hili kwa kweli mama didy anakumbuka wajibu wake....

  tulia nyumbani

  wachaga wanasema vishoia..kuna wanawake wakiolewa yaani akirudikutoka ofisini mapema anawahi nyumbani anaishia kwa mashoga zake....jaman jamani tuwe makini na mashooga wanasahaulisha ndoa za watu hawa..tuwe makini kwa hili..kama umewahi nyumban kaa pumzika jiweke tayari kumpokea mumeo akirudi....pls jamani kumbukeni majukumu yenu...wakati mwingine ukimkuta mume anakupigia simu ameshafika anakuona nyumba za jiran unajibu niko sebulen mume wangu...oooh kuwen makini muwe wakweli ukweli unajenga nyumba yako

  i nykat 12:32 mith 31:15

  zab 51:10,mwanzo 25:27 zab 4:4

  usafi

  mwanamke ni pambo la nyumba lazima uwe msafi kiroho na kimwili,hakikisha unakua msafi hata kuziangalia nguo za mzee zikoje zimenyoshwa amevaaje,kuna masugar mumy wanamdaka mumeo just kumtengeneza kola tu na kifungo kumbe tatizo ni wewe kumwangalia kabla ya kuondoka...wanawake wengi wanajipamba wenyewe lakini waume zao ni balaa hawatamaniki kabisa

  mith 31:23,mith12:4


  kujiheshimu kwa mumeo
  yapo matatizo mengi wamamama tunayaleta wenyewe utakuta unamwachia binti wa kazi anafanya kila kitu cha mzee anatandika anafua ananyoosha nguo za baba anamwandalia chakula mwisho upendo wa baba unahamia kwake loo ukikuta na wa singida kazi unayo bibie hata akirudi anamuuliza binti nyumban wazima
  lile joka lilomshambulia mwanamke pale edeni lilimshambulia na kummaliza kabisa matoekeo tunayajua..mith 21:9,math 25:25...pia jaribu kuwa makini achanana ma xboyfriend watakusumbua sana kwenye ndoa ukishaingia umeingia ...

  mwanamke asiye na ufahamu hana tofauti na nyumba ya tembe inayovuja kule singida
   
 2. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #2
  Sep 13, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,449
  Likes Received: 5,700
  Trophy Points: 280
  Ufahamu

  mwenye ufahamu hafungwi na kinywa chake wakati mugumu yeye anatoa muda,mith 8:1, mith 11:12

  mwenye ufahamu ni rahisi kujua mumeo ni mtakatifu ama mtu sahihi ama msukule

  mith 9:10,mith 10:13 mith 12:11 ufahamu utakufanya utumiwe na mungu..utaaminiwa na kukabidhiwa majukumu na mungu ,nafsi iliyo hai ndiyo iliopewa majukumu,,,,mwz 2:7

  badilisha tabia ya ufahamu wako..kuhusu ndoa yako usiwe na msimamo msimamo mengine ni rioho ya ibilisi kwenye ufahamu wako...usiwe na msimamo kwenye ndoa shugulikia tatizo kiroho sio msimamo na kuishia kuzira leo umechelewa namziria utanikuta usingizini 1petr 3:1-6 shida nyingi kwenye ndoa zinasababishwa na msimamo leo kanyamaza na mimi namnyamazia,kafanya hiki na mimi nafanya hiki atanitambua tubadilke ktk ufahamu tuponye nyumba zetu
  tito 2:1-5
  natangaza ufahamu wako popote ulipofichwa urudishwe in jesus name sauti yoyote ya uovu kwako nailaani ktk jina la yesu

  harufu yoyote mbaya inayozunguuka kuharibu ndoa yako nailaan ktk jina la yesu\
  hisia zinazirudia rudia ndan yako nazilaan in jesus name
  vipimo vya dk ulivyoambiwa navyo vimegeuka tishio nalaani ktkt jina la yesu
  nakutangazia ufahamu wako kufunguliwa in jesus name
  matukkio mabaya nayamuru ayatakuwa kwenye ndoa yako in jesus name
  nyumba ndogo azitakuwa kwako nalaani ktk jina la yesu
  natangaza kuhifadhiwa ndoa yako injesus name
  kazi yajko iifadhiwe in jesus name
  2petr 2:5-8
  natangaza kurejeshwa kilichochukuliwa kwako in jesus name\yoel2:21-27
   
 3. m

  manyusi JF-Expert Member

  #3
  Sep 13, 2010
  Joined: Mar 3, 2009
  Messages: 274
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  Umenena vema Ubarikiwe sana mtumishi
   
 4. Beauty

  Beauty JF-Expert Member

  #4
  Sep 13, 2010
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 540
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  kama unaona ushauri na points hizi useful ni vizuri na points za mambo ya kumtuliza mke asitoke nje ya ndoa zikiwekwa jamvini pia.
   
 5. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #5
  Sep 13, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  ziweke kama unazo mama, sio tabu!
   
 6. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #6
  Sep 13, 2010
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  Mke wangu anafanya yote haya lakini bado nacheat... (hadi naona aibu)
   
 7. M

  Mokoyo JF-Expert Member

  #7
  Sep 13, 2010
  Joined: Mar 2, 2010
  Messages: 14,826
  Likes Received: 1,994
  Trophy Points: 280
  Longtime Mkuu Pdiddy. Nice to see you here
   
 8. LeopoldByongje

  LeopoldByongje JF-Expert Member

  #8
  Sep 13, 2010
  Joined: Apr 28, 2008
  Messages: 373
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Pole sana na ninakupongeza kwa kuwa mkweli. Ila tafakari nahau isemayo "kwenye miti hakuna wajenzi". Na nyingine "Pema usijapo pema ukipema si pema tena". Ndugu yangu Jaribu saana kuchunga nyenendo zako; jaribu na ikiwezekana rudi ndani maana usilojua ni kuwa za mwizi ni arobaini. Mwisho nakuomba usome Biblia Methali 17:1. (iwapo wewe ni muumini wa Kikristu). Nakutakia kila la kheri.
   
 9. bacha

  bacha JF-Expert Member

  #9
  Sep 13, 2010
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 4,336
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Unaweza kukuta mkeo anajua yote hayo(jinsi unavyomcheat)lakini kaamua kukaa kimya tu!ando maana umeanza kuona aibu mwenyewe
   
 10. Easymutant

  Easymutant JF-Expert Member

  #10
  Sep 13, 2010
  Joined: Jun 3, 2010
  Messages: 2,570
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  :confused2:
   
 11. Kiranja Mkuu

  Kiranja Mkuu JF-Expert Member

  #11
  Sep 13, 2010
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 2,100
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Kweli wewe ndiye MFALME WA JUKWAA HILI LA WANAWAKE NA NGONO ZEMBE
   
 12. Kiranja Mkuu

  Kiranja Mkuu JF-Expert Member

  #12
  Sep 13, 2010
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 2,100
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  NDOA = Mume +Mke + Ngono Zembe +Mahusiano Mazuri.
  Kinyume na hapo hamna ndoa
   
 13. bacha

  bacha JF-Expert Member

  #13
  Sep 13, 2010
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 4,336
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Are you serious brother??!!!!!!!
   
 14. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #14
  Sep 13, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,449
  Likes Received: 5,700
  Trophy Points: 280

  uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
   
 15. WiseLady

  WiseLady JF-Expert Member

  #15
  Sep 13, 2010
  Joined: Jan 22, 2010
  Messages: 3,248
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Mungu akurehemu na akusaidie ubadilike
   
 16. Anyisile Obheli

  Anyisile Obheli JF-Expert Member

  #16
  Sep 13, 2010
  Joined: Dec 13, 2009
  Messages: 3,304
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  kila jambo na wakati wake jifunze kupokea kwanza harafu tengeneza mazingira kusubiri kifutuatacho maana naamini mwandishi hata alichokileta hajaombwa, naamini hilo likiwa ni ombi atalileta jibu lake bali tu lisiwe shurti
   
 17. Mpambalyoto

  Mpambalyoto JF-Expert Member

  #17
  Sep 13, 2010
  Joined: Mar 26, 2010
  Messages: 752
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hapo kwenye nyekundu hapo :confused2:
   
 18. m

  mtanzania1989 JF-Expert Member

  #18
  Sep 14, 2010
  Joined: May 20, 2010
  Messages: 2,141
  Likes Received: 1,709
  Trophy Points: 280
  mmmh!!! nyc equation
   
Loading...