Mambo ya kujua kabla ya kuingia kwenye kilimo na ufugaji

Mayu

JF-Expert Member
May 11, 2010
6,625
10,683
Kutokana na ugumu wa maisha watu wanajaribu kUchangamkia fursa mbalimbali ikiwemo kilimo na ufugaji.

Baada ya FURSA hii kuonekana ndio kimbilio la wengi wamejitokeza watu wengine tena nao wanawachangamkia wakulima na wafugaji na kuwafanya FURSA ya kupata kipato badala ya kuwasaidia kiukweli.

Vitu vya kuzingatia sana ni
1, Motivation speaker
2, Wauza pembejeo na utaalam
3, Ulime nini kwa wakati gani
4, Bahati na sibu
5, Madalali/soko

MOTIVATION SPEAKERS
Hawa watakuja na semina zao za ada mkipatikana watu 100 mara ada elfu 25 hadi elfu 50 anapiga hela yake saaafi kabisa bila kukwambia changamoto na jinsi ya kuikabili risk ya kilimo na ufugaji

WAUZA PEMBEJEO NA UTAALAMU
Hawana nao ni wahuni wengine

Kwanza mbegu na viatilifu vingi ni magumashi inayopeleka hasara kubwa kwa mkulima na wafugaji, yaani unapuliza dawa unakuta mmea ndio kwanza unazidi kuathirika au mifugo inazidi kufa hadi unachanganyikiwa kabisa
Au unauziwa mbegu tofauti kabisa na jina na aina ya mbegu, kuna watu wananunua nyanya zilizooza sokoni wanakausha mbegu nakufunga kwenye pakiti safi wanakwambia mbegu fulani bora kumbe hamna kitu

Pili, Wanawa mislead sana wakulima kwa kuwa hadaa zao au mfugo fulani inalipa sana na kuwauzia mbegu/vifaranga, madawa na utaalamu(visiting) kisha baada ya mavuno huoni hilo soko wala bei inaotajwa

Watu walifugishwa kware na sungura weeee mwisho wa siku hakuna mnunuzi wakati waliuziwa madawa nk kwa bei ghali ..... shida yao ni kuuza pembejeo na visiting

TIMING, ULIME NINI NA KWA WAKATI GANI
Hapa napo ni balaa, wakulima wengi tunalima kitu ambacho kwa muda huo kipo adimu na bei ipo juu, matokeo wote mnalima na mkivuna sokoni inakua mafuriko, kitunguu kinachovunwa leo mwezi wa 8 kililimwa wakati gunia limesimama laki 5 hadi 7. Lakini leo ni elfu 60 - 70 GUNIA
Ukifanya timing zako vizuri utapiga hela usiamini kama ni zako

BAHATI NASIBU
Kwa wale wa kutegemea mvua itategemea na mvua za mwaka huo, zikizidi imekula kwako na zikipungua sana inakula kwako hata ulime kwa mbegu na utaalamu wa kiasi gani

Wale wa kumwagilia ambao wanauhakika wa mazao tatizo ni unapovuna mnakuwa wangapi sokoni? Utalima vizuri kitu unashangaa sokoni vimejaa unaweza kuukimbia mzigo

Lakini mvua zikienda vizuri au ukakuta soko zuri utafurahi na roho yako

MASOKO/MADALALI
Unaweza kukwepa vihunzi vyote hapo juu lakini ukaja kukwama hapa sokoni, wengi tunalima na mteja wetu mkubwa ni DALALI,,,,,,,huu ndio ukweli

Yaani kumkwepa dalali inahitaji miujiza kama ya Daudi kumpiga Goliati
Washenzi hawa wametengeneza mfereji wao wa mauzo ukileta ujuaji hupati hata mia mazao yatakuozea mkononi mwako

Mkulima unahangaika na tikiti miezi kadhaa halafu tunategema dalali aje atuokoe kwa dakika 3 akupe chako yeye akatengeneze pesa hata mwezi mzima anauza

Kama kuna kitu kinaumiza basi ni hapa kwa dalali, yaani dalali tena akija akute na zao liliyumba kidogo kukua utajuta kuzaliwa atakavyo kukandamiza

Mkulima hana soko, masoko yameshikwa na madalali, mashamba yetu mengi yako ndani ndani mikoani jiroge sasa ukodi fuso upeleke mjini..unaweza shindwa hata kulipia fuso kwa ftina za madalali

Siku mkisikia kuna dalali kapigwa risasi ya kichwa mjue ni mimi....

Kama una roho laini laini usiingie huku

Mdau kaongezea point muhimu hapa chini
Mkuu, umepita nayo kwenye track kabisa. Umesahau suala la vipimo. VIPIMO. Yaani Tanzania sijui ni kwa nini haijaamua kuwakomboa wakulima wake kupitia vipimo ambavyo ni STANDARD. Mtu umevuna kitunguu chako, dalali anakuja kununua kwa gunia au net. Hilo gunia au net tena linashonewa kilemba/lemba/lumbesa. Na hiyo net inavyoshindiliwa sasa????? Watakuambia net yetu inajaa debe 6 mpaka 6 na nusu kumbe kiukweli ni 8 mpaka 9. Wengine wanapimia madumu/ndoo, wanakwambia ndoo 9 ndo zinajaza gunia. Cha ajabu badala ya ndoo tatu zilizojaa watapima ndoo 4 mfuto, ambazo watadai ni sawa na 3, ndo unaibiwa hivyo... Kwa nini dalali/mnunuzi asilazimishwe kununua kwa kipimo standard cha KILO???
 
Kutokana na ugumu wa maisha watu wanajaribu kUchangamkia fursa mbalimbali ikiwemo kilimo na ufugaji.

Baada ya FURSA hii kuonekana ndio kimbilio la wengi wamejitokeza watu wengine tena nao wanawachangamkia wakulima na wafugaji na kuwafanya FURSA ya kupata kipato badala ya kuwasaidia kiukweli.

Vitu vya kuzingatia sana ni
1, Motivation speaker
2, Wauza pembejeo na utaalam
3, Ulime nini kwa wakati gani
4, Bahati na sibu
5, Madalali/soko

MOTIVATION SPEAKERS
Hawa watakuja na semina zao za ada mkipatikana watu 100 mara ada elfu 25 hadi elfu 50 anapiga hela yake saaafi kabisa bila kukwambia changamoto na jinsi ya kuikabili risk ya kilimo na ufugaji

WAUZA PEMBEJEO NA UTAALAMU
Hawana nao ni wahuni wengine

Kwanza mbegu na viatilifu vingi ni magumashi inayopeleka hasara kubwa kwa mkulima na wafugaji, yaani unapuliza dawa unakuta mmea ndio kwanza unazidi kuathirika au mifugo

Umetisha mkuu
 
Mkuu, umepita nayo kwenye track kabisa. Umesahau suala la vipimo. VIPIMO. Yaani Tanzania sijui ni kwa nini haijaamua kuwakomboa wakulima wake kupitia vipimo ambavyo ni STANDARD.

Mtu umevuna kitunguu chako, dalali anakuja kununua kwa gunia au net. Hilo gunia au net tena linashonewa kilemba/lemba/lumbesa. Na hiyo net inavyoshindiliwa sasa????? Watakuambia net yetu inajaa debe 6 mpaka 6 na nusu kumbe kiukweli ni 8 mpaka 9.

Wengine wanapimia madumu/ndoo, wanakwambia ndoo 9 ndo zinajaza gunia. Cha ajabu badala ya ndoo tatu zilizojaa watapima ndoo 4 mfuto, ambazo watadai ni sawa na 3, ndo unaibiwa hivyo... Kwa nini dalali/mnunuzi asilazimishwe kununua kwa kipimo standard cha KILO???
 
Kweli mkuu, changamoto za kilimo ni nyingi - hiyo ya soko ndiyo komesha kwa kuwa iko nje ya uwezo wa mkulima wa kawaida. Tutafute namna ya kujiunga pamoja
 
Kutokana na ugumu wa maisha watu wanajaribu kUchangamkia fursa mbalimbali ikiwemo kilimo na ufugaji.

Baada ya FURSA hii kuonekana ndio kimbilio la wengi wamejitokeza watu wengine tena nao wanawachangamkia wakulima na wafugaji na kuwafanya FURSA ya kupata kipato badala ya kuwasaidia kiukweli.

Vitu vya kuzingatia sana ni
1, Motivation speaker
2, Wauza pembejeo na utaalam
3, Ulime nini kwa wakati gani
4, Bahati na sibu
5, Madalali/soko

MOTIVATION SPEAKERS
Hawa watakuja na semina zao za ada mkipatikana watu 100 mara ada elfu 25 hadi elfu 50 anapiga hela yake saaafi kabisa bila kukwambia changamoto na jinsi ya kuikabili risk ya kilimo na ufugaji

WAUZA PEMBEJEO NA UTAALAMU
Hawana nao ni wahuni wengine

Kwanza mbegu na viatilifu vingi ni magumashi inayopeleka hasara kubwa kwa mkulima na wafugaji, yaani unapuliza dawa unakuta mmea ndio kwanza unazidi kuathirika au mifugo inazidi kufa hadi unachanganyikiwa kabisa
Au unauziwa mbegu tofauti kabisa na jina na aina ya mbegu, kuna watu wananunua nyanya zilizooza sokoni wanakausha mbegu nakufunga kwenye pakiti safi wanakwambia mbegu fulani bora kumbe hamna kitu

Pili, Wanawa mislead sana wakulima kwa kuwa hadaa zao au mfugo fulani inalipa sana na kuwauzia mbegu/vifaranga, madawa na utaalamu(visiting) kisha baada ya mavuno huoni hilo soko wala bei inaotajwa

Watu walifugishwa kware na sungura weeee mwisho wa siku hakuna mnunuzi wakati waliuziwa madawa nk kwa bei ghali ..... shida yao ni kuuza pembejeo na visiting

TIMING, ULIME NINI NA KWA WAKATI GANI
Hapa napo ni balaa, wakulima wengi tunalima kitu ambacho kwa muda huo kipo adimu na bei ipo juu, matokeo wote mnalima na mkivuna sokoni inakua mafuriko, kitunguu kinachovunwa leo mwezi wa 8 kililimwa wakati gunia limesimama laki 5 hadi 7. Lakini leo ni elfu 60 - 70 GUNIA
Ukifanya timing zako vizuri utapiga hela usiamini kama ni zako

BAHATI NASIBU
Kwa wale wa kutegemea mvua itategemea na mvua za mwaka huo, zikizidi imekula kwako na zikipungua sana inakula kwako hata ulime kwa mbegu na utaalamu wa kiasi gani

Wale wa kumwagilia ambao wanauhakika wa mazao tatizo ni unapovuna mnakuwa wangapi sokoni? Utalima vizuri kitu unashangaa sokoni vimejaa unaweza kuukimbia mzigo

Lakini mvua zikienda vizuri au ukakuta soko zuri utafurahi na roho yako

MASOKO/MADALALI
Unaweza kukwepa vihunzi vyote hapo juu lakini ukaja kukwama hapa sokoni, wengi tunalima na mteja wetu mkubwa ni DALALI,,,,,,,huu ndio ukweli

Yaani kumkwepa dalali inahitaji miujiza kama ya Daudi kumpiga Goliati
Washenzi hawa wametengeneza mfereji wao wa mauzo ukileta ujuaji hupati hata mia mazao yatakuozea mkononi mwako

Mkulima unahangaika na tikiti miezi kadhaa halafu tunategema dalali aje atuokoe kwa dakika 3 akupe chako yeye akatengeneze pesa hata mwezi mzima anauza

Kama kuna kitu kinaumiza basi ni hapa kwa dalali, yaani dalali tena akija akute na zao liliyumba kidogo kukua utajuta kuzaliwa atakavyo kukandamiza

Mkulima hana soko, masoko yameshikwa na madalali, mashamba yetu mengi yako ndani ndani mikoani jiroge sasa ukodi fuso upeleke mjini..unaweza shindwa hata kulipia fuso kwa ftina za madalali

Siku mkisikia kuna dalali kapigwa risasi ya kichwa mjue ni mimi....

Kama una roho laini laini usiingie huku

Mdau kaongezea point muhimu hapa chini
MPYA HII,hapa mfanyabiashara na mtumiaji wa viazi mviringo,,,,,,,,,,(kiepe)
Msimu umewadia.tenaaaaaa,
KARIBU,mkoa wa
NJOMBE,kusini mwa Tanzania, ujipatie viazi mviringo aina zote,unazotaka wew kwa bei nafuu,kabs,....
Wewe dalali na mfanyabiashara mnakaribishwa,....
bei maelewano,
Mawasiliano 0620743697.
View attachment 2773014
FB_IMG_16964051304185485.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom