Mambo ya kufanya ili 1 st born wako akuzoee kama hajakuona tangia azaliwe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mambo ya kufanya ili 1 st born wako akuzoee kama hajakuona tangia azaliwe

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by LINCOLINMTZA, Oct 31, 2012.

 1. LINCOLINMTZA

  LINCOLINMTZA JF-Expert Member

  #1
  Oct 31, 2012
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 1,640
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Wana JF,
  Kuna rafiki yangu amekuwa mbali na mke wake kwa miaka miwili.
  Kipindi anaondoaka alimwacha mkewe akiwa na mimba ya miezi nane.
  Mtoto lizaliwa na sasa anakimbia na kuongea kwa kumung'unya maneno.
  Anweza kuita mama na watu wengine waliopo nyumbani pale
  Sasa huyu rafiki yangu anatarajia kurudi kwake na kuonana na mkewe na mwanaye.

  Je, ni mambo gani ayafanye ili mwanae amzoee kwa wepesi zaidi kama mama yake ndani ya muda mfupi?

  Kumbukeni yeye hajawahi kuwa na mtoto na huyu ndo first born wake kwa hiyo hana uzoefu wa ubaba.

  Karibu wana bodi.
   
 2. m

  mpepalilambo Senior Member

  #2
  Oct 31, 2012
  Joined: Jun 27, 2012
  Messages: 194
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Baba ni baba awepo au asiwepo. Msingi ni kwamba akisharudi tu na kukaa naye mwaezi mmoja tu atamtambua kuwaa huyo ndo baba yake na atampenda sana iwapo atakuwa naye karibu. pili, atakuwa analala nae chumba kimoja hivyo kuwa rahisi kufahamu kuwa nayelala na mama ndiye baba.
   
 3. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #3
  Oct 31, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  atenge muda wa kuwa na mtoto wa kutosha.
   
 4. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #4
  Oct 31, 2012
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Ajipe tuu muda wala hakuna la ajabu hapo
  Mtoto atamzoea mara tuu atakapoona hata mama yake anamchangamkia "mgeni" so asiwe na wasi wasi
   
 5. BIG X

  BIG X JF-Expert Member

  #5
  Oct 31, 2012
  Joined: Nov 4, 2011
  Messages: 777
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Azalishe mwingine.........
   
 6. C

  Chiya Chibi JF-Expert Member

  #6
  Oct 31, 2012
  Joined: Jul 6, 2011
  Messages: 485
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mtoto bado mdogo, kwahiyo asiwe na waswas. Aonyeshe mapenz kwa familia nzima kama kawaida sio mtoto peke yake, itasaidia sana kumweka mtoto karibu
   
 7. m

  masalapa Senior Member

  #7
  Oct 31, 2012
  Joined: Oct 29, 2012
  Messages: 125
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Hiyo sababu ya pili ni upuuzi mtupu. Vipi kama kulikuwa na jamaa mwingine aliyekuwa akija kulala chumba kimoja na huyo Mama? Wee unadhani kwa kipindi cha miaka miwili huyu Mama hajawahi kumegwa? Tena wale ****** analeta wanaume hadi ndani watoto wakiuliza wanasema huyo ni "uncle wenu". Chezea mapenzi wewe?
   
 8. LINCOLINMTZA

  LINCOLINMTZA JF-Expert Member

  #8
  Oct 31, 2012
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 1,640
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Mbona hasira mkubwa masalapa?. Taratibu kidogo. Halafu ondoa mentali ya kwamba mwanamke akikaa muda mrefu lazima amegwe, kama ni mvumuilivu na muelewa hawezi. Lakini kama ni kicheche, unatengewa ugali mezani halafu anakwenda kumegwa. Kwa hiyo swala la mapenzi ni tata kama uliyenaye si mwaminifu.
   
 9. m

  mpepalilambo Senior Member

  #9
  Oct 31, 2012
  Joined: Jun 27, 2012
  Messages: 194
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Mke siyo hawara. katika hali ya kawaida hatutegemei hilo. Lakini angalizo zuri>
   
 10. GOOGLE

  GOOGLE JF-Expert Member

  #10
  Oct 31, 2012
  Joined: Oct 29, 2012
  Messages: 1,875
  Likes Received: 712
  Trophy Points: 280

  Hungumalwa hee bagosha.
   
 11. Billie

  Billie JF-Expert Member

  #11
  Oct 31, 2012
  Joined: Aug 13, 2011
  Messages: 5,338
  Likes Received: 2,343
  Trophy Points: 280
  Abebe zawadi zinazofanana na umri wa dogo mengine yatajipa.Na awe na muda nae mwingi madogo hawanaga neno mbona.
   
 12. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #12
  Oct 31, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,227
  Trophy Points: 280
  akirudi atumia muda wake mwingi kuwa na mtoto
   
 13. Kambaku

  Kambaku JF-Expert Member

  #13
  Oct 31, 2012
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 1,986
  Likes Received: 2,898
  Trophy Points: 280
  Mbona kama ni wewe mkuu? Unaogopa kusema ni wewe unaomba huo ushauri? Kuna ubaya gani?
   
 14. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #14
  Oct 31, 2012
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Mwezi?? Labda awe baba wa bandia, lakini baba halali hata siku mbili haziishi mtoto atakuwa ashamzoea. Damu zinazofanana lazima tu zitafutane.
   
 15. ram

  ram JF-Expert Member

  #15
  Oct 31, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 6,210
  Likes Received: 909
  Trophy Points: 280
  Hivi huwa mnadhani wanawake wote ni malaya eeh? Kama wewe unatabia ya kumega ovyo hovyo usifikiri na wengine wanatabia kama yako
   
 16. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #16
  Oct 31, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Wanawake waliokuwa wamemzunguka wakati anakua ndio wamemjengea picha ya jinsi.wanawake walivyo. Anachoongelea ni tabia za mama yake, nduguze wa kike na familia ya kwao kwa.ujumla, ndio wanavyoishi. Msamehe bure
   
 17. C.T.U

  C.T.U JF-Expert Member

  #17
  Oct 31, 2012
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 4,708
  Likes Received: 1,210
  Trophy Points: 280
  Umeeleweka
  Ila ungeongea kwa lugha ya kistaarabu ungeeleweka zaidi
   
 18. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #18
  Nov 1, 2012
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280

  Mkuu GOOGLE niaje aise
  Karibu Hungumalwa bana
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...