mambo ya kondoo mwenye maandishi ni propaganda za CCM kusahaulisha hoja za kitaifa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

mambo ya kondoo mwenye maandishi ni propaganda za CCM kusahaulisha hoja za kitaifa!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by payuka, Aug 11, 2011.

 1. payuka

  payuka JF-Expert Member

  #1
  Aug 11, 2011
  Joined: Jun 17, 2010
  Messages: 832
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Ni kama ilivyokuwa kwa babu wa LoLiondo. Mkakati wa CCM ni ku divert minds za watanzania ili wasifuatilie hoja zenye kuonesha muelekeoi wa kitaifa.
   
 2. Malaria Sugu

  Malaria Sugu JF-Expert Member

  #2
  Aug 11, 2011
  Joined: Jul 7, 2009
  Messages: 2,653
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  [TABLE="width: 99%, align: left"]
  [TR]
  [TD="class: kaziBody, align: left"]JANA gazeti hili lilikuwa na habari za kusikitisha kuhusu watoto wawili wa familia moja ya kijiji cha Chanji B, wilayani Sumbawanga mkoani Rukwa, waliopoteza maisha kwa kukosa matibabu ya malaria na chakula kwa muda mrefu.

  Watoto hao, Furaha (10) na Sifa Pesambili (4), walikosa matibabu hayo kutokana na wazazi wao kuamini kidini, kwamba binadamu kutibiwa hospitalini ni dhambi kwa mujibu wa dini yao ya Kanisa la Uzima au Kanisa la Yesu wa Chanji.

  Hili ni miongoni mwa makanisa ambayo bado yanaamini katika ushenzi ambao hauendani na matibabu ya kisasa na linashindwa kuelewa kuwa malaria ni ugonjwa wa kisayansi ambao unahitaji matibabu ya kisayansi pia.

  Kamwe vijidudu vya malaria havitapona kwa kumweka mgonjwa ndani bila matibabu na kisha anapofariki dunia awekwe darini na waumini wa Kanisa hilo, kuanza kuomba kwa imani kwamba watafufuka!

  Haya ndiyo yaliyotokea kwa watoto hao kwa wazazi wao, Deus (47) na Mariamu Pesambili (32), kukumbatia imani hiyo na kusababisha mauti hayo ambayo bila shaka kwa Mungu wa kweli walichokifanya ni dhambi.

  Tunaamini Polisi inawashikilia wazazi hao kwa uchunguzi zaidi, lakini pia kwa sababu hizo hizo, litakuwa linajiandaa kuhoji viongozi wa Kanisa hilo na ikiwezekana Serikali ichukue hatua ya kulipiga marufuku na hasa ikizingatiwa kuwa lina waumini 25 tu.

  Makanisa kama haya ndiyo huanzishwa si kwa madhumuni ya imani za kweli kwa Mwenyezi Mungu, bali kama miradi ya watu wachache kujitafutia riziki kama ilivyotokea kwa muasisi wake aliyejiita Yesu wa Chanji, kutapeli waumini wake na kutoroka.

  Hili halina tofauti na la Mtume na Askofu Joseph Kibwetere wa Uganda alipoteketeza zaidi ya watu 1,000 kanisani kwake, Machi 17, 2000, akiwaahidi kuwa watauona Ufalme wa Mbingu.

  Lakini pia halitofautiani na wale Wasabato Masalia ambao walikuwa wakiamini kwamba wangeweza kusafiri kwenda nje ya nchi bila tiketi za ndege, pasipoti wala viza, na wakaendelea kuzurura katika Jiji la Dar es Salaam bila sababu hadi sheria ilipofuata mkondo wake.

  Yapo makanisa mengine ambayo pia huzuia waumini wao kuimba nyimbo za Taifa kwa imani hiyo hiyo potofu, kuwa ni dhambi kwa miungu wao wanaowaamini, ingawa imani zote hizo zinapumbaza watu na kushindwa kujitafutia maendeleo.

  Wananchi wana haki ya kukataa makanisa kama haya, lakini pia Serikali inastahili kuyakemea kama si kuyapiga marufuku, kwani kuyaachia kunaweza kusababisha athari mbaya kwa wananchi, ikiwa ni pamoja na kuhatarisha usalama wao.

  Kama si Polisi wa Mkoa wa Rukwa kusimama imara na kuwakamata Mchungaji wa Kanisa hilo la Yesu wa Chanji pamoja na waumini wake wawili kwa usalama wao, hali ingekuwa mbaya kwao kutokana na wananchi kutaka kuwaua kulipiza kisasi cha vifo vya watoto hao.

  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="class: Text, align: left"] [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="class: Text, align: left"] [TABLE="width: 100%"]
  [TR]
  [TD][TABLE="width: 100%"]
  [TR]
  [TD="class: kaziBody, align: right"][/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
   
 3. C

  Caroline Danzi JF-Expert Member

  #3
  Aug 11, 2011
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 3,629
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Unaingia kwenye dini bila maarifa! IMANI haba, ujinga, maradhi na umasikini! pole sana wafiwa.
   
 4. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #4
  Aug 11, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,232
  Likes Received: 3,782
  Trophy Points: 280
  Usalama wa Taifa na ccm wanalichezea taifa hili na watz wote!
   
 5. Malaria Sugu

  Malaria Sugu JF-Expert Member

  #5
  Aug 11, 2011
  Joined: Jul 7, 2009
  Messages: 2,653
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  [TABLE="width: 99%, align: left"]
  [TR]
  [TD="class: kaziBody, align: left"]JANA gazeti hili lilikuwa na habari za kusikitisha kuhusu watoto wawili wa familia moja ya kijiji cha Chanji B, wilayani Sumbawanga mkoani Rukwa, waliopoteza maisha kwa kukosa matibabu ya malaria na chakula kwa muda mrefu.

  Watoto hao, Furaha (10) na Sifa Pesambili (4), walikosa matibabu hayo kutokana na wazazi wao kuamini kidini, kwamba binadamu kutibiwa hospitalini ni dhambi kwa mujibu wa dini yao ya Kanisa la Uzima au Kanisa la Yesu wa Chanji.

  Hili ni miongoni mwa makanisa ambayo bado yanaamini katika ushenzi ambao hauendani na matibabu ya kisasa na linashindwa kuelewa kuwa malaria ni ugonjwa wa kisayansi ambao unahitaji matibabu ya kisayansi pia.

  Kamwe vijidudu vya malaria havitapona kwa kumweka mgonjwa ndani bila matibabu na kisha anapofariki dunia awekwe darini na waumini wa Kanisa hilo, kuanza kuomba kwa imani kwamba watafufuka!

  Haya ndiyo yaliyotokea kwa watoto hao kwa wazazi wao, Deus (47) na Mariamu Pesambili (32), kukumbatia imani hiyo na kusababisha mauti hayo ambayo bila shaka kwa Mungu wa kweli walichokifanya ni dhambi.

  Tunaamini Polisi inawashikilia wazazi hao kwa uchunguzi zaidi, lakini pia kwa sababu hizo hizo, litakuwa linajiandaa kuhoji viongozi wa Kanisa hilo na ikiwezekana Serikali ichukue hatua ya kulipiga marufuku na hasa ikizingatiwa kuwa lina waumini 25 tu.

  Makanisa kama haya ndiyo huanzishwa si kwa madhumuni ya imani za kweli kwa Mwenyezi Mungu, bali kama miradi ya watu wachache kujitafutia riziki kama ilivyotokea kwa muasisi wake aliyejiita Yesu wa Chanji, kutapeli waumini wake na kutoroka.

  Hili halina tofauti na la Mtume na Askofu Joseph Kibwetere wa Uganda alipoteketeza zaidi ya watu 1,000 kanisani kwake, Machi 17, 2000, akiwaahidi kuwa watauona Ufalme wa Mbingu.

  Lakini pia halitofautiani na wale Wasabato Masalia ambao walikuwa wakiamini kwamba wangeweza kusafiri kwenda nje ya nchi bila tiketi za ndege, pasipoti wala viza, na wakaendelea kuzurura katika Jiji la Dar es Salaam bila sababu hadi sheria ilipofuata mkondo wake.

  Yapo makanisa mengine ambayo pia huzuia waumini wao kuimba nyimbo za Taifa kwa imani hiyo hiyo potofu, kuwa ni dhambi kwa miungu wao wanaowaamini, ingawa imani zote hizo zinapumbaza watu na kushindwa kujitafutia maendeleo.

  Wananchi wana haki ya kukataa makanisa kama haya, lakini pia Serikali inastahili kuyakemea kama si kuyapiga marufuku, kwani kuyaachia kunaweza kusababisha athari mbaya kwa wananchi, ikiwa ni pamoja na kuhatarisha usalama wao.

  Kama si Polisi wa Mkoa wa Rukwa kusimama imara na kuwakamata Mchungaji wa Kanisa hilo la Yesu wa Chanji pamoja na waumini wake wawili kwa usalama wao, hali ingekuwa mbaya kwao kutokana na wananchi kutaka kuwaua kulipiza kisasi cha vifo vya watoto hao.

  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="class: Text, align: left"] [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="class: Text, align: left"] [TABLE="width: 100%"]
  [TR]
  [TD][TABLE="width: 100%"]
  [TR]
  [TD="class: kaziBody, align: right"][/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
   
 6. Malaria Sugu

  Malaria Sugu JF-Expert Member

  #6
  Aug 11, 2011
  Joined: Jul 7, 2009
  Messages: 2,653
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hili halina tofauti na la Mtume na Askofu Joseph Kibwetere wa Uganda alipoteketeza zaidi ya watu 1,000 kanisani kwake, Machi 17, 2000, akiwaahidi kuwa watauona Ufalme wa Mbingu.

  Lakini pia halitofautiani na wale Wasabato Masalia ambao walikuwa wakiamini kwamba wangeweza kusafiri kwenda nje ya nchi bila tiketi za ndege, pasipoti wala viza, na wakaendelea kuzurura katika Jiji la Dar es Salaam bila sababu hadi sheria ilipofuata mkondo wake.

  Yapo makanisa mengine ambayo pia huzuia waumini wao kuimba nyimbo za Taifa kwa imani hiyo hiyo potofu, kuwa ni dhambi kwa miungu wao wanaowaamini, ingawa imani zote hizo zinapumbaza watu na kushindwa kujitafutia maendeleo.
   
 7. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #7
  Aug 11, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,323
  Likes Received: 22,157
  Trophy Points: 280
  yaani gazeti la Habari Leo limegeuka gazeti la ugaku ili tuache kuhoji mambo ya msingi
   
 8. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #8
  Aug 12, 2011
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Kwahiyo unatuambia kuwa CCM sasa inatumia uislam?
   
Loading...