mambo ya kilevi

Sangarara

JF-Expert Member
Sep 29, 2011
13,100
5,649
Niko natandika bia hapa,lakini sina company na huyu dada hapa counter yuko busy kwelikweli.

Kama kuna member ambaye yuko kwenye situation kama yangu naomba tuanzishe maongezi ya kilevi kusukumia hizi bia vizuri.
 
Kwani hili jukwaa ni la walevi siku hizi??
 
Kwani hili jukwaa ni la walevi siku hizi??

Kwani lipo jukwaa la kilevi mkuu? Mimi nimeweka kwenye jukwaa la mahusiano sababu unywaji wa hii kitu huwa ni chachu ya kuanzisha au kuboresha mahusiano.
 
Sangarara kunywa bia yako ukalale kabla hizo bia hazijahamia ubonngo wa chini ukajikuta umeenda kutembea bila ndala
 
Last edited by a moderator:
Sangarara kunywa bia yako ukalale kabla hizo bia hazijahamia ubonngo wa chini ukajikuta umeenda kutembea bila ndala

Nimekusoma mkuu,ndo maana nimeona nitafute company huku sababu nikisema nitafute hapa usalama ni mdogo. Hawa wahudumu hawa wanakuja hapa counter kuchukua vinywaji mitego tupu.wananigusagusa na matiti yao sana.
 
Last edited by a moderator:
Hapo sasa ni balaa kubwa sana maana huchelewi kumuona malkia Cleopatra wakati ana sura kama bibi na matiti yashalala yako saa kumi na mbili ila kwa vile kuna jeki siku hizi hupati shida aise.
Angalia sana mkuu Sangarara
 
Last edited by a moderator:
Mr Rocky. Hawa wahudumu wenyewe sio wabovu kumbuka,wamekaa fresh sana,basi tu sielewi speaces kama hizi badala ya watu kuweka ndani ziko hapa kufungua vizibo.kuna huyu mmoja ni mrefu,miguu mizuri,sura ya ukweli,makalio safi kwelikweli na anaoenakana joto lake liko around 40 degrees sababu kanigusa kama mara mbili hapa kaniacha vibaya sana
 
Wewe Sangarara naona bia zishaanza kuhamia kichwa cha chini na ndio kinachocontrol kila kitu sasa na cha juu hakina tena kazi ndo maana ushaanza kuona vituko
Hapo haa bibi utamuona beautiful na gorgeous angalia sana mkuu
 
Last edited by a moderator:
Mr Rocky jamaa keshazimika au alilewa kichwa cha chini? Naona kapiga kimyaaa!
 
Last edited by a moderator:
Arushaone kichwa cha chini ndo kilikuwa active cha juu kilishazima muda ndo maana alikuwa ashaanza kuwasifia bar maid waliomletea kinywaji
 
Last edited by a moderator:
Hapo sasa ni balaa kubwa sana maana huchelewi kumuona malkia Cleopatra wakati ana sura kama bibi na matiti yashalala yako saa kumi na mbili ila kwa vile kuna jeki siku hizi hupati shida aise.
Angalia sana mkuu Sangarara

Mkuu, ushauri wako ulizingatiwa, nilirudi home salama salimini, ila simu ilizima ndo maana nilipotea ghafla.
 
Sangarara naona umeianza weekend mapema. Angalia sana mkuu usije ukaondoka kichwa cha chini kikiwa cha moto
 
Last edited by a moderator:
Sangarara naona umeianza weekend mapema. Angalia sana mkuu usije ukaondoka kichwa cha chini kikiwa cha moto

Mr Rocky. Uko poa mkuu? Wewe unapiga mvinyo hapo lakini? Samahani jana nilipotea ghafla, kama kawa napiga bia zangu taratiibu ila leo niko na mshkaji ila yeye ndio sijui ataondoka mwenyewe hapa au vipi sababu kapiga round mbili kamuinclude na mhudumu.ngoja nione uungwana wake leo.karibu bia.
 
Last edited by a moderator:
Mlandege,habari yako mkuu.
Popote pale ulipo enjoy your licor.mi nimeanza cycle ingine hapa,kiwanja kilekile napiga castle lites zangu za moto.
Unapiga fanta lager,haya mkuu piga hyo lakini usipotee boma maana huwa vinalevya hvyo
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom