Hiyo picha hipo ila mpaka uweze kuiona inabidi uwe umejiunga jukwaa la wakubwa.Kuna picha inadisplay lkn nikiingia kwenye uzi siioni halafu nakuta masufulia ya vyakura inakuaje mambo hayo sasa
Likoje. Na unajiungaje?Hiyo picha hipo ila mpaka uweze kuiona inabidi uwe umejiunga jukwaa la wakubwa.
hakuna hilo jukwaaLikoje. Na unajiungaje?
Vko kawaida tu kutokana na nature ya pishi lake mkuuHivyo vitunguu vikubwa mno mbuzi wewe
Mkuu hako ka picha nami kamenivuta kuufungu huu uzi ila sikaoni aiseeKuna picha inadisplay lkn nikiingia kwenye uzi siioni halafu nakuta masufulia ya vyakura inakuaje mambo hayo sasa
wengi tumevutiwa na hiyo picha, nimeisaka lakini siioniMkuu hako ka picha nami kamenivuta kuufungu huu uzi ila sikaoni aisee
Kuna picha inadisplay lkn nikiingia kwenye uzi siioni halafu nakuta masufulia ya vyakura inakuaje mambo hayo sasa
Bila chupi na hako kamwiko kazoefu, nahisi kamwiko kakimaliza mapishi kanakuwa kadume huko huko jikoniBasi bna inatokea jikoni Kuna chombo kinakuwa kimechooka ila hakitupwi na sio kwamba hakuna kingine basi tu
Mimi hiki kimwiko nakipenda sana nisipokipikia naona kama chakula sioView attachment 1108613View attachment 1108616
Hako apoKuna picha inadisplay lkn nikiingia kwenye uzi siioni halafu nakuta masufulia ya vyakura inakuaje mambo hayo sasa
Sasa hiyo bila chupi mbona hakuna, uje hapa nime scroll hadi hapa kuangalia kama kuna mtu hana chupi afu anapika.Basi bna inatokea jikoni Kuna chombo kinakuwa kimechooka ila hakitupwi na sio kwamba hakuna kingine basi tu
Mimi hiki kimwiko nakipenda sana nisipokipikia naona kama chakula sioView attachment 1108613View attachment 1108616
Shemela mi nakufuata kila Kona... TUFUATANE.... Kwani unavaaga?umenikumbusha hata mimi nna kajiko kadogo zaidi ya hako kila anayekaona anacheka ila sikaachi
Eee shemela navaagaShemela mi nakufuata kila Kona... TUFUATANE.... Kwani unavaaga?
Ukute baada ya hapo harufu ya vitunguu inahusika... Si unakumbuka shule tukienda chooni na masweta..!!!??Eee shemela navaaga