Mambo ya Irene huko Ughaibuni!

Tumshukuru Mungu mambo haya kwetu ni nadra sana. Kwa hali tuliyonayo sijui nchi yetu ingekuwa katika hali gani iwapo majanga kama haya yangetukumba
 
nilijua unamwongelea irene kiwia au ngowi kumbe dhahama duu hii balaa sasa..

nasikia bado kingine kitaitwa chenyewe hurricane Sikujua..
 
Wenzetu shida ndizo zimewafanya waendelee nasi amani imekuwa sababu tosheleza ya kudumaa kimaendeleo...........
 
Back
Top Bottom