Mambo ya hovyo sana: Hospitali ya Mkoa wa Temeke umeme ukikatika giza linatawala

Kiboko ya Jiwe

JF-Expert Member
Apr 7, 2020
12,646
35,979
Habari WanaJamiiForums

Ni saa 19:00 ninapita maeneo haya nakutana na giza kuu. Nimeshangazwa sana na huu urasimu.

Mganga mkuu wa hospital hii na team yako sisi wananchi tunahitaji majibu. Fedha za rudhuku mnazopokea kazi yake nini?

Fedha wamazochangia wananchi kazi yake nini?

Majibu au mtumbuliwe!
 
Ni kila siku umeme unakatika na kukosekana??
Kama hospitali ya Rufaa ilipaswa kuwa na standby generator la kuweza kuangaza hospital nzima. Hivi na giza lile wakija magaidi si wanatekeleza uhalifu kirahisi.
OK far from that vipi huduma za afya zitakwenda kwa kasi kama hospital inakuwa na giza?
 
Jibu swali langu hapo juu
 
Ni kila siku umeme unakatika na kukosekana??
Hilo walipaswa kujibu wahusika. Mimi nimepita kipindi ambacho umeme ulikatwa sehemu kubwa ya Temeke na viunga vyake. Na hospital giza lilitawala.
Ukiwaface wahusika lazima watajitetea tu kuwa ni jana tu
 
Back
Top Bottom