Mambo ya hospitali ya nyangao yanatia kichefuchefu

Balungi

JF-Expert Member
May 25, 2011
229
151
Umewahi kwenda kutibiwa Hospitali ya Nyangao iliyopo mkoani Lindikatika enzi zile za Mwalimu?
Siku hizi inatia kichefuchefu hasa baada ya kuchukuliwa na serikali kuona kiwango cha rushwa kinakua siku hadi siku katika Hospitali hii, je unajisikiaje unapokwenda pale uko na mwanao au mzee wako ambaye ni mgonjwa na daktari anashindwa hata kumwandikia vipimo, kisa anakujengea mazingira umpe rushwa?
Tafakari, chukua hatua,
HII NDIO TANZANIA
 
Selikali ipo bize na kiki zisizo na mahana ikiwa rushwa wimbo wa taifa
 
Tuletee mfano mmoja au njoo takukuru tukupe mbinu.
Karibu tutokomeze uozo
 
Back
Top Bottom