The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,110
- 115,873
Kwanza kwa wale wasiofahamu...hiki Chuo cha Harvard huwa kinatajwa kama
'the best in the world' au tuseme the best in America...baadhi ya waliosoma
hapo ni Obama,Bill Gates na wengineo..ma scientist wakubwa,wafanyabiashara wakubwa
wa dunia,marais wa Marekani weeengi tu the list is endless....
Sasa kuna utaratibu hapo chuoni ambapo wanafunzi huwa wanaandikisha club zao mbali mbali
ambazo zikishakuwa zinatambuliwa na chuo...uongoziwa chuo hutoa misaada inayohitajika
ikiwemo pesa za kusaidia shughuli za club hizo.......
Sasa mwanafunzi mmoja ameenda kuandikisha club yake ya wale
'wanaopenda strange sex' akiamini labda yuko peke kumbe wapo tele lol
hii imezua gumzo mno pande hizo...wengine wakipinga na wengine wakiona ni sawa
Nimejikuta na connect hilo na siku nilipoleta mada hapa nikataja 'threesome' na
na reaction yake kumbe huko Harvard washatangulia zaidi lol
threesome haipo kwenye hata list ya strange sex lol
Swali hapa je unafikiri watu wenye 'akili saana' au 'wasomi saana'
wanakuwa zaidi na appetite ya 'strange sex'??
Harvard Gives BDSM Sex Club Official Campus Recognition