Mambo ya geto!

Askari Kanzu

JF-Expert Member
Jan 7, 2011
4,598
1,233
Duhu, huyu jamaa bongo fleva hazimpiti!
AaSdb6hCQAAfdok.jpg large.jpg
 
DUh si mchezo hii addiction ni noma sasa, jamaa hayo masaburi si ndo yanaiva sasa kwa joto la laptop
hahahahaa!!!
umenifanya nikacheka mwenyewe!!
sasa si afanye kitu cha Ipod tu?? kwanza miwaya waya yote hayo ya nini asee!!! ya nini kupasha masaburi joto bana!!!
 
Hahahahha....kweli mshkaji ni mbunifu!!!Ila alivyofunga lt hivyo kuna kitu kinaendelea kweli?
 
Kha!! Kashindwa ipod hata simu yenye memory card ajaze miziki kweli??
 
hahahahaa!!!
umenifanya nikacheka mwenyewe!!
sasa si afanye kitu cha Ipod tu?? kwanza miwaya waya yote hayo ya nini asee!!! ya nini kupasha masaburi joto bana!!!

Naomba kuelimishwa, hivi hii term Masaburi maana yake ni nini? Ni msamiati mpya? Kuuliza siyo ujinga.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom