Askari Kanzu
JF-Expert Member
- Jan 7, 2011
- 4,598
- 1,233
hahahahaa!!!DUh si mchezo hii addiction ni noma sasa, jamaa hayo masaburi si ndo yanaiva sasa kwa joto la laptop
Afu tena yuko jikoni anakaangiza kitimoto!DUh si mchezo hii addiction ni noma sasa, jamaa hayo masaburi si ndo yanaiva sasa kwa joto la laptop
hahahahaa!!!
umenifanya nikacheka mwenyewe!!
sasa si afanye kitu cha Ipod tu?? kwanza miwaya waya yote hayo ya nini asee!!! ya nini kupasha masaburi joto bana!!!
Naomba kuelimishwa, hivi hii term Masaburi maana yake ni nini? Ni msamiati mpya? Kuuliza siyo ujinga.
Halafu kaigeuzia upande unaopata heat(Processor)DUh si mchezo hii addiction ni noma sasa, jamaa hayo masaburi si ndo yanaiva sasa kwa joto la laptop
Na makalio ndio nini? Manaake wengine misamiati mipya imetupita!ni neno la msimu likimaanisha makalio sawa mama mdogo
Na makalio ndio nini? Manaake wengine misamiati mipya imetupita!
Duhu!!Gitaa la kisasa lenye kutumia bluetooth!:becky: