Mambo ya CHADEMA yanatia kizunguzungu

Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
92,216
113,510
Hivi inawezekanaje makumi ya wanachama akina mama/ dada wa CHADEMA waende kula viapo vya kuwa wabunge wa viti maalumu [hivi huwa wanamwakilisha nani hawa wabunge wa hivi viti?] halafu katibu mkuu wa chama asikitambue kitendo chao hicho?

Huko CHADEMA hakuna coordination ya mambo? Kila mtu anajifanyia mambo yake mwenyewe bila kumtaarifu mwingine?

CHADEMA inaongozwa ki-banana republic sana.



Hmm....ila haka kamdada kazuri ...😄
 
Chadema imekuwa chadrama
Screenshot_20201124-174814_Twitter.jpg
 
Mnyika na Mbowe wanajua kila kitu mkuu! Ila wanazuga ili kuondoa aibu mbele ya jamii!

Haiingii akilini eti Mdee leo afanye vitu bila baraka za Mbowe.
 
Shida yenu ni kwamba mna overrate Tundu Lisu sana, huyo jamaa ni mediocre sana, kwanza ni average hata kwa standard za kibongo amefika hapo alipofika kwa uogo, usaliti na utapeli, ...
 
Tuliwaambia mapema Hawa ni matapeli, wabinafsi na waroho wa madaraka
 
Back
Top Bottom