Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,216
- 113,512
Hivi inawezekanaje makumi ya wanachama akina mama/ dada wa CHADEMA waende kula viapo vya kuwa wabunge wa viti maalumu [hivi huwa wanamwakilisha nani hawa wabunge wa hivi viti?] halafu katibu mkuu wa chama asikitambue kitendo chao hicho?
Huko CHADEMA hakuna coordination ya mambo? Kila mtu anajifanyia mambo yake mwenyewe bila kumtaarifu mwingine?
CHADEMA inaongozwa ki-banana republic sana.
Hmm....ila haka kamdada kazuri ...😄
Huko CHADEMA hakuna coordination ya mambo? Kila mtu anajifanyia mambo yake mwenyewe bila kumtaarifu mwingine?
CHADEMA inaongozwa ki-banana republic sana.
Hmm....ila haka kamdada kazuri ...😄