Mambo ya Carnival London 28 August 2011

Richard

JF-Expert Member
Oct 23, 2006
14,939
20,399
Mjini London pamoja na hali ya kaskazini kuwa na ukimya mkuu, katikati ya jiji hilo eneo la Notting Hill palikuwa na hekaheka ya shamrashamra za Carnival ambapo watu hufurahia kumaliza msimu wa kiangazi.

article-1314297700239-0D92357A00000578-507647_466x399.jpg


Ramani ikielekeza maeneo ambayo maandamano ya Carnival yangepita.

article-1313584405152-0D76D1D200000578-873019_466x598.jpg




Mwanadada wa kizungu akishangilia sherehe hizo.

121958348.jpg

Meya wa jiji la London bwana Boris Johnson akiwa amejichanganya na wanadada.

121958610.jpg

Ni tabasamu tu.

article-1314298779206-04BA22BE000005DC-492083_636x399.jpg


Wookie ambae ni DJ maarufu wa muziki wenye mtindo iitwayo "garage", akifanya vitu vyake.

Yeye pamoja na ma-DJ Semtek na Big Poppa Love walikuwa wakitukumbusha old-school set na 1990s jungle.

DJ mwingine Moroka alitutumbuiza na muziki wa South Africa kwaito na Uk fanky.


121958345.jpg
 
Pale Club ya Hidden Vauxhall kuna muziki wa hard hip hop na calypso mpaka saa 12 asubuhi.

Anuani:

100 Tinworth Street,
Vauxhall,
London,
SE11 5EQ


Kwa treni: Victoria Line Underground na unateremka Vauxhall.

Kiingilio: 10pm, £10 to £15 adv.





 
Back
Top Bottom