Mambo ya Bongo haya.....balaa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mambo ya Bongo haya.....balaa

Discussion in 'Jamii Photos' started by Magezi, Aug 30, 2009.

 1. M

  Magezi JF-Expert Member

  #1
  Aug 30, 2009
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,827
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  [​IMG]

  source: Michuzi blog
   
 2. K

  Kakalende JF-Expert Member

  #2
  Aug 30, 2009
  Joined: Dec 1, 2006
  Messages: 3,259
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 135
  Hizi link za Blogspot hazitoki vizuri
   

  Attached Files:

  • BUS3.jpg
   BUS3.jpg
   File size:
   18.1 KB
   Views:
   1,075
 3. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #3
  Aug 30, 2009
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,255
  Likes Received: 19,383
  Trophy Points: 280
  hili la kwenda wapi tena? mbagala?
   
 4. C

  Choveki JF-Expert Member

  #4
  Aug 30, 2009
  Joined: Apr 16, 2006
  Messages: 448
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Ukiona picha kama hizi na idadi ya banadamu wanaopoteza maisha yao kila siku katika barabara zetu unabaki kujiuliza je, nchi hii ina viongozi au watawala tu (yaani ambao kazi yao ni kututawala bila kujali welfare zetu)?
   
 5. Pretty

  Pretty JF-Expert Member

  #5
  Aug 30, 2009
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  Ndio mambo ya usafiri wa Dar huo, hata mkiwa wachache lazima mpiganie kuingia.
   
 6. Semilong

  Semilong JF-Expert Member

  #6
  Aug 30, 2009
  Joined: Mar 5, 2009
  Messages: 1,711
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  dar mabasi yana rangi za mistari kuonyesha wapi linaenda, kwa hiyo hii si dar na kama ni dar basi ni 4 or 5 years ago
   
 7. J

  Joyceline JF-Expert Member

  #7
  Aug 31, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 1,010
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Hapo siyo dar, nadhani hata ukiona mandhari ya miti kwa nyuma unaelewa labda Arusaha, coaster za kwenda moshi
   
 8. rmashauri

  rmashauri JF-Expert Member

  #8
  Aug 31, 2009
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 3,008
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Ni kweli dada Pretty, siku moja tulikuwa watu wachache tu kwenye kituo cha daladala ikaja Coaster ambayo tusingeweza hata kuijaza na ilikuwa na abiria wachache sana ndani nikashangaa kuona watu wanasukumana kuingia. Nilishangaa kweli.
   
 9. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #9
  Aug 31, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160

  next time kuwa karibu na wallet yako na simu!
   
 10. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #10
  Aug 31, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Hii mbona cha mtoto sana ukilinganisha na jinsi watanzania wanavyosafiri katika mazingira ya hatari huko vijijini. Kuna mkangaf unaitwa [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/MV_Liemba"]MV Liemba[/ame]. with a reputation of being the oldest passenger ship still in service (built 1913).Ukiangalia jinsi watu wanavyosafiri Lake tanganyika utashangaa kwa nini hatuna vilio kama vya MV Bukoba vingi zaidi.
   
 11. Ab-Titchaz

  Ab-Titchaz Content Manager Staff Member

  #11
  Aug 31, 2009
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 14,702
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135
  [​IMG]

  [​IMG]
   
 12. rmashauri

  rmashauri JF-Expert Member

  #12
  Aug 31, 2009
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 3,008
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Wabeja wang'wa baba. Ndo maana niko makini sana siku hizi baada ya kuchomolewa kiasi kikubwa cha pesa mfukoni pale stendi ya Shule ya Uhuru Mchanganyiko (siku hizi kuna Benjamini Mkapa High School), iliniuma sana.
   
 13. Shedafa

  Shedafa JF-Expert Member

  #13
  Aug 31, 2009
  Joined: May 21, 2008
  Messages: 802
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Iwe Dar au wapi lakini tukubali ndio hali ya Tanzania hii, ndio usafiri wetu. Nafikiri mleta picha alikuwa na la msingi linalomkera kwa kuleta picha hii na wala si umuhimu wa picha imepigwa wapi, nami kwa picha hii imenikumbusha kitu. Biashara ya usafiri ni biashara uria, soko liko wazi (abiria si wa kutafuta), mbona matatizo ya usafiri ndio yanasizidi tatizo liko wapi?. Nakumbuka miaka ile ya mwisho ya 80 wakati ubinafsishaji ndio unapamba moto, kila aliyepata pesa zake za kupunguzwa kazi alikwenda kununua daladala. Leo hii waliowengi wamefilisika na madaladala walionunua hayapo tena. Tatizo liko wapi?, tukipata jibu la swali hili tutakuwa tumepata majibu ya maswali ya biashara nyingi zinazofanywa na walalahoi.
   
 14. w

  wakumbuli Senior Member

  #14
  Sep 10, 2009
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 148
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mmmm picha haina uhalisilia da mazingira ya dar mbona kama kuna majengo ya karakana,sio vijana walikuwa wanakwenda beach
   
 15. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #15
  Sep 10, 2009
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,365
  Likes Received: 6,997
  Trophy Points: 280
  kaaaaaaaazi kwelikweli
   
 16. r

  rumenyela Member

  #16
  Sep 10, 2009
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Usiite MV.Liemba mkangafu! Mi nafanya kazi humo. Mbona usafiri iko poa tuu! Njoo usafiri na Liemba uone kitu cha tangu 1914 kinavyo kata maji.
   
 17. PingPong

  PingPong JF-Expert Member

  #17
  Sep 10, 2009
  Joined: Dec 21, 2008
  Messages: 933
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 45
  hahahahahahah, haya sasa waliochokoza wenye vyombo vyao hao wamejibu. kitu cha 1914 kipo bomba? duh hii kweli hatari.....
   
 18. I

  Isae Member

  #18
  Sep 10, 2009
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 79
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Inaweza ikawa Dar kwani japo magari yana mistari ila kuna wakati magari ambayo sio daladala hufanya trip kwa kuibia trip. Tena siku hizi nenda Posta pale asubuhi uone wanaokwenda Masaki, hadi wa dada wanaingilia dirishani.
   
 19. Nemesis

  Nemesis JF-Expert Member

  #19
  Sep 10, 2009
  Joined: Feb 13, 2008
  Messages: 3,833
  Likes Received: 1,089
  Trophy Points: 280
  Mkuu inaonekana umetoka bongo siku nyingi sana. Mimi binafsi nimeshawahi kuingilia dirishani pale Ubungo, nilikuwa naenda Tabata Sengerea. Hiyo ni hali ya kawadaida kwa mabasi ya Mwenge-Mbagala, Ubungo-Gongolamboto na Ubungo-T/Segerea.
   
 20. Sinkala

  Sinkala JF-Expert Member

  #20
  Sep 10, 2009
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 1,505
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Zingekuwa coaster za kwenda mikoani, ungeona abiria wana mabegi/mizigo.
   
Loading...