Mambo ya Barrick; Barrick Executive Chairman Thornton Ajiuzia Shares na kumiliki Shares Milioni 5!.

Kumbe hii ndio ilikuwa aga aga ya Prof. Barrick imeingia ubia na Randgold kumiliki majority shares, hivyo Prof. sio chairman tena. Thanks Uongozi mpya, umekubali kutekeleza yale makubaliano yote, ila sasa kile kishika uchumba, cha dola milioni 300, kimegeuzwa ni kifuta machozi cha zile Noah zetu.
P.
 
Wanabodi,
Hii ni Habari kutoka Barrick. Executive Chairman Increases Shareholding in Company to Five Million Shares
Press Release
(opens in new window) DOWNLOAD PDF

OCTOBER 1, 2018
ALL AMOUNTS EXPRESSED IN U.S. DOLLARS UNLESS OTHERWISE INDICATED

TORONTO — Barrick Gold Corporation (NYSE:ABX) (TSX:ABX) (“Barrick” or the “Company”) today announced that Executive Chairman John L. Thornton has purchased 2,271,029 additional common shares in the Company at an average price of $11.11 per share, nearly doubling his total shareholding in Barrick to 5,000,000 shares.1
Based on the exchange ratio of 6.128 Barrick shares for each share of Randgold Resources Limited (“Randgold”) under the recommended all-share merger between the two companies, the Randgold ordinary shares held by Mark Bristow are expected to convert into 5,141,600 Barrick shares following the completion of the merger, after which Mr. Bristow will become Barrick’s President and Chief Executive Officer.
Ownership is a core element of Barrick’s partnership culture. Under the Global Barrick Share Plan launched in 2016, all Barrick people receive common shares on an annual basis, tied to Company performance. These shares must be held until an individual retires or leaves the Company. Barrick also matches share purchases by those who work at the Company, up to $4,000 per year.
INVESTOR CONTACT
Deni Nicoski

Senior Vice President
Investor Relations
Telephone: +1 416 307-7474
Email: dnicoski@barrick.com
MEDIA CONTACT
Andy Lloyd

Senior Vice President
Communications
Telephone: +1 416 307-7414
Email: alloyd@barrick.com
  1. Mr. Thornton owns 3,985,219 Common Shares directly and 59,970 Common Shares indirectly through a Rollover IRA and 500,000 Common Shares indirectly through a Grantor Retained Annuity Trust. Mr. Thornton also exercises control or direction over 240,600 Common Shares held in the names of his wife and children. In addition, 214,211 Common Shares are held in family trusts for the benefit of Mr. Thornton’s children and for which his wife is the trustee. Mr. Thornton does not have beneficial interest in or control over these Common Shares held in trust.
My Take.
Haya ni mambo ya acquisitions, ukiona mtu mmoja anajimilikisha shares nyingi hivi, Sisi wenye jicho la mbali, tunanusa kuwa soon shares hizo zitaingia sokoni na kuuzwa kwa mtu mwingine.

Huku mazungumzo yetu yakiendelea, bila sisi huku kupewa briefing yoyote, tunaweza kujikuta hatuna wa kuzungumza naye!.
P

That's exactly what is being planned.
 
af eti tunajisifu tuna jisifu tuna tiss na majasusi wakutosha .....Maviiiiiiiiiiiiiiiii
 
Wanabodi,
Hatimaye huu mtanange wa Acacia kununuliwa na Barrick, hatimaye umefika mwisho jana, kwa Barrick kutoa tangazo la kuinunua Acacia, na Acacia kutoa tango la kukubali kununuliwa na Barrick.

Tangazo la Barrick la Kifo cha Acacia ni Hili
PRESS RELEASES
Recommended Final Offer For Acacia Mining Plc By Barrick Gold Corporation – July 19, 2019

Tangazo la Acacia kukubali kununuliwa na Barrick ni hili

Hii maana yake ni
  1. Sasa mgogoro wa Acacia na serikali yetu, umemalizika rasmi kwa sababu sasa Acacia doesnt exist anymore.
  2. Migodi yote mitatu iliyokuwa chini ya Acacia, sasa itakuwa chini ya Barrick
  3. Yale makubaliano ya serikali yetu sasa yatatekelezwa.
  4. Kwa kuanzia tutalipwa dola milioni 300 zilizokuwa ni kishika uchumba, lakini sasa sio kishika uchumba tena bali ni kifuta machozi cha kusamehe lile deni kubwa la kodi la dola bilioni 190.
  5. Barrick ataunda kampuni mpya ya ubia na Tanzania kuchukuwa shughuli za Acacia
  6. Kwenye hiyo kampuni mpya, serikali ya Tanzania itakuwa na shares asilimia 16%.
  7. Bodi ya hiyo kampuni mpya itakuwa na Watanzania.
  8. Makao Makuu yatakuwa Tanzania
  9. Menejiment itakuwa na Watanzania.
  10. Tutagawana manufaa ya kiuchumi pasu kwa pasu, yaani 50/50.(NB.Manufaa ya kiuchumi ni economic benefits na sio faida profits)
Huu ndio utakuwa ushindi wa kwanza wa kishindo wa rais Magufuli na awamu ya Tano kwa kuanza rasmi utekelezaji wa kwanza wa sheria mpya ya madini.
Hongera Kabudi, Hongera Magufuli, Hongera Watanzania, ila kwenye makinikia, bado kuna lakini!.
Leo tupongezane kwanza, lakini tuzijadili baada ya kusainiwa makubaliano yenyewe!.
Paskali
 
Back
Top Bottom