Mambo ya badilika The Drone Strikes on the Saudi Oil Facilities Have Changed Global

fundi25

JF-Expert Member
Apr 16, 2013
10,379
11,523
Iran ya badilisha fikra za wengi kutumia pesa nyingi kwenye vifaa vita na ulizi sio suluhisho la ulizi! Hatimaye majigambo ya kufananisha wingi wa vifaa wa fika mwisho!!

Khurais_oil_field_and_Buqyaq_Saudi_Arabia-768x432.png

The devastating attack on Saudi oil facilities by drones and missiles not only transforms the balance of military power in the Middle East, but marks a change in the nature of warfare globally.

On the morning of 14 September, 18 drones and seven cruise missiles – all cheap and unsophisticated compared to modern military aircraft – disabled half of Saudi Arabia’s crude oil production and raised the world price of oil by 20 per cent.

This happened despite the Saudis spending $67.6bn (£54bn) on their defence budget last year, much of it on vastly expensive aircraft and air defence systems, which notably failed to stop the attack. The US defence budget stands at $750bn (£600.2bn), and its intelligence budget at $85bn (£68bn), but the US forces in the Gulf did not know what was happening until it was all over.

$750bn zilisinzia wakati buku 10 ikifanya yake!
Trump kubadilisha nia ya kuivamia Iran kijesh nayo iliacha maswali mengi!!!🤔🤔🤔
 
Uxi tayari?huu ulishaexpire .Hivi kwa nini mnapenda wenzenu waende vitani badala ya kuombea amani?

Wewe pancha ya ghafla tu inakuzimisha sembuse unataka vita.Tuache upuuzi,tuache vita kama Trump hataki vita sio kama kaogopa.Huenda ana maana zaidi.

Ninyi ndo mnakimbia mtaa wa pili nankujisifu jamaa kaogopa,nimemzingua,mwoga tu hana lolote mtoto wa mama.Wakati akija hata ngumi hujui namna ya kukunja achilia mbali kurusha.Acha mawazo ya vita,tuwaombee wenzetu amani ndio Mungu atatubariki.
 
Hatutaki vita na wala hatutaki kuona damu ya mtu inamwagika,Sema huu ndiyo muda wa mabadiliko,Time of changes is now.
 
Uxi tayari?huu ulishaexpire .Hivi kwa nini mnapenda wenzenu waende vitani badala ya kuombea amani?

Wewe pancha ya ghafla tu inakuzimisha sembuse unataka vita.Tuache upuuzi,tuache vita kama Trump hataki vita sio kama kaogopa.Huenda ana maana zaidi.
Ninyi ndo mnakimbia mtaa wa pili nankujisifu jamaa kaogopa,nimemzingua,mwoga tu hana lolote mtoto wa mama.Wakati akija hata ngumi hujui namna ya kukunja achilia mbali kurusha.Acha mawazo ya vita,tuwaombee wenzetu amani ndio Mungu atatubariki.
Kama kweli Hawataki Vita Wangemuondolea IRAN Vikwazo Kwanza Halaf Wakamuachia Aendelee Kufanya Mambo Yake Kwa Uhuru

Kama Nyuklia nawao wanatengeneza why not 2 IRAN

Kama Ballistic Missile Nao Wanazo tena zile za ICBM Why Not 2 IRAN

Kama kweli hawataki vita wawaachie WAAJEMI Wajiamulie Mambo Yao Na wawe huru Mkuu
 
Ishu ndogo sana hizo. Kumbe Iran inaweza kuisimamisha dunia!

Trump anajisumbua tu na vikwazo vyake. Vikwazo vya miaka 30 vimeifanya Iran iweze kujitegemea kwa kila kitu. Kuanzia teknolojia mpaka uchumi. Bila vikwazo ingekuwa rahisi sana kuiweka chini Iran, lakini kutokana na miscalculations za Marekani, Iran itazidi kujijengea zana nzito zaidi na zaidi.
 
Tukio la kupiga visima limebadilisha mawazo ya US 100%! na kuifanya ikunje mkia
Kile kitendo ni tusi kubwa Sana kwa technology ya air defense ya marekani!!
 
Tukio la kupiga visima limebadilisha mawazo ya US 100%! na kuifanya ikunje mkia
Kile kitendo ni tusi kubwa Sana kwa technology ya air defense ya marekani!!
US anachoifanyizia Saudi Arabia ni zaidi ya ubakaji. Vijamaa vya Saudi Arabia akina MBS na mbwembwe zao zote vimekuwa vidogo kama piriton. Hata uwezo wa kusimama kama wanaume na kuongea vimeahindwa. Eti vinataka Trump au Israel aishambulie Iran kwa niaba.
 
Back
Top Bottom