Miss Cherry
Member
- Oct 2, 2020
- 36
- 249
- Thread starter
- #21
Sijui wenzetu huwa wanalelewa vipi aiseeFamiliya nyingine mziache kama zilivyo.hivi mfiwa anapataje muda wa kufanya hayo yote? Mara kusuka mara nini...
Sijui wenzetu huwa wanalelewa vipi aiseeFamiliya nyingine mziache kama zilivyo.hivi mfiwa anapataje muda wa kufanya hayo yote? Mara kusuka mara nini...
Aiseee....maisha ni fumbo kubwa sana.Familiya nyingine mziache kama zilivyo.hivi mfiwa anapataje muda wa kufanya hayo yote? Mara kusuka mara nini..
mtoa mada ni chawa wa hao watoto wa kishua kifupi ni mtoto wa mbwa ndio mana aliweza kuvumilia izo shida zoteOyaa ulilala msibani siku tatu, ukasafirisha mwili kisha ukazika. Huo muda ulitoa wapi wakati chuo masomo yanaendelea.
Mimi siwezi kaa siku tano bila kufika chuo, sanasana nikitoka Ijumaa usiku narudi Jumapili mchana.
Itakuwa wana SILOAMU haoDuh aibu kwlkwl ,mie nilihudhuria msiba wa haya madhehebu ya kiroho baadhi ya masharti mi kutokulia unapofiwa,marehemu ameenda kupumzika halafu na wewe utake usitake utakufa tu ndio yalikuwa madai yao kwnn usilie...
Unamtaka? Nikupe no yake?
Inasikitisha.Familiya nyingine mziache kama zilivyo.hivi mfiwa anapataje muda wa kufanya hayo yote? Mara kusuka mara nini...
Habari za wakati huu wana JF, kwanza kabisa nachelea kusema kwamba mm ni mgeni humu JF kwa maana kwamba huu ndio uzi wangu wa kwanza. Lkn nimekua nikifuatilia Jamii Forum kuanzia mwaka 2017 ambapo nimekua naingia tu kusoma thread mbalimbali lakini sikua nimejiunga mojamoja. Nimekua nikimfuatilia sana Mshana mpaka muda mwingine nikawa nakosa usingizi kwa ajili ya nyuzi zake za kuogofya...