Mambo vipi JamiiForums?

agrotourism

New Member
Sep 20, 2020
2
2
Habari ndugu zangu wa JF

Leo nimeamua kujiunga rasmi Jamii Forums baada ya kuwa msomaji kwa muda mrefu. Naamini hapa nipo sehemu sahihi kwasababu JF imekuwa kisima cha maarifa kwa muda mrefu kuhusu mambo tofauti kuanzia biashara hadi mahusiano lakini pia sehemu nzuri yakujiliwaza kwakusoma utani, kejeli au tambo za baadhi ya wanachama.

Binafsi nitakuwa ninashare na ninyi ndugu zangu kuhusu kilimo cha kisasa cha mbogamboga na matunda lakini pia tourism kwasababu mimi pia ni guide. Naamini kwakuandika na kushare mambo haya nitasaidia kuongeza maarifa hapa jukwaani kwasababu Jamii Forums ni Home of Great Thinkers. Asantani sana na mbarikiwe
 
Back
Top Bottom