pilato93
JF-Expert Member
- Jun 28, 2014
- 6,206
- 6,439
Na nyie mnakubalije kuzalisha zalishwaHivi mababa walozaa huko nje watoto mpaka 4,5 kwa wamama tofauti na bado anataka kuoa mwanamke ambae hana mtoto,..huyo ni nani..,???kama sio mchawi kigagula basi nipeni jibu lingine..