Mambo tata kuhusu NASA na safari ya mwezini: Ni kweli Neil Armstrong alisilimu baada ya kusikia Adhana mwezini?

Mtoa post fuatilia tena na upost kitu ambacho unakijua vizuri
Nna uhakika kabisa Hujasoma Chochote kati ya kilichoandikwa

Au umesoma Vichache

Au umesoma Uzi wote na Hamna hata kimoja ulichoelewa

Sjui hata nkujibu nini??

Nyuzi hii Imeletwa kwa ajili ya majidiliano sio ujuaji
 
Swali linalo niumiza kichwa ni Hio flag kupepea wakati hapo hakuna hewa wala upepo je! iliwezekana vipi kupepea?
Hii ni moja ya Claims .....za kwamba moon landing ilikuwa fake.... sasa NASA wakajibu walitengeneza mfumo wa bendera ili ionekane kama inapepea ila haikuwa inapepea
 
Swali linalo niumiza kichwa ni Hio flag kupepea wakati hapo hakuna hewa wala upepo je! iliwezekana vipi kupepea?
Bendera ilikuwa haipepei na hao nasa walijua tangu 1950s.
Bendera ilikuwa designed ionekane kama inapepea.
Walitumia mabomba ya plastic kufanya ile bendera ionekane inapepea.

Mfano mzuri ni panzia la dirisha au panzia la mlango ila wao walitumia mabomba ya plastic yale membamba simple like that.

Watu waliotengeneza rocket engine hawawezi kushindwa kutengeneza bendera designed for zero gravity situations.
 
🤝🤝 na ndvyo walivyojibu baada ya maswali mengi kuhuusu hii
 
Nani kasema mwezi ni mtakatifu ,ukishindwa kutoa uthibitisho wapi imehubiriwa hii jua Wewe ni kilaza tuu
Labda unadhani kuna wanao tafuta mbadala wa Mungu Jua wa Sunday yule waMisri wa kale wakimwita Ra amabapo ni upuuzi
We jini na wewe una dini?
 
Swali linalo niumiza kichwa ni Hio flag kupepea wakati hapo hakuna hewa wala upepo je! iliwezekana vipi kupepea?
jibu ni kwamba bendera haikua inapepea kama ambavyo wewe unaona kwasababu haikua bendera ya kawaida.

ikiwa ma astronaut wangepandikiza bendera ya kawaida kwenye mwezi na wakati hakuna upepo hiyo ingefanya picha kuto kupendeza sana, kwa hiyo NASA ilitengeneza bendera maalumu kwa wanaanga zichukuliwe nao katika mission zao zote sita za appolo
 
🤝🤝
 
Je ikiwa ni syndicate ya watu wachache kuwajengea hofu wengi!? Kujidhihirisha ukubwa na ubora kwa kuonekana kufanikisha yale yasiyowezekana!?

Huwa naupenda mfano wa Nuclear Tech.. jinsi inavyokuwa ya kikundi fulani tuu... Ukijaribu lazima usongwesongwe na madhila mpk ukome. Ukiwa mbishi kama Uchina unatoboa na ww unakaa mezani unaanza kucheza karata za kikubwa

Kwa fikra dhanifu aina hiyo, hakuna kisichowezekana kuwa. You could be right. The possibilities are infinite. Unfortunately, I don’t subscribe to that mode of thinking.
 
Its just a thought! But again huwa kunakuwa na maswali mengi sana... Mfano safari ya pluto.. na ukweli kwa pluto ni giza.. halafu wanakwambia kifaa kilichotumwa kimepiga picha ..kwa kutumia flash!?

Kutengeneza kalamu ya mwezini!? Kwani hawakutumia penseli!? Gravity can't do a thing to a pencil :)

Sometimes these are just illusions ..magic to put it precisely.. just like us when we marvel when a magician successfully pulls a trick.. these events feels the same only on global scale.
 
Wanao kataa hao jamaa kutofika huko mars ni mapimbi tu, kama mwaka 1945 ,walitengeneza mabomu ya nuclear na kuisaga saga hiroshima na nagasaki miaka ya 1969 ambapo inasemekana chombo kilitua mwezini ni kipindi kirefu sana,

Hao jamaa sio watu wa kawaida
 
Aisee
 
Its just a thought! But again huwa kunakuwa na maswali mengi sana... Mfano safari ya pluto.. na ukweli kwa pluto ni giza.. halafu wanakwambia kifaa kilichotumwa kimepiga picha ..kwa kutumia flash!?

Kutengeneza kalamu ya mwezini!? Kwani hawakutumia penseli!? Gravity can't do a thing to a pencil :)

Sometimes these are just illusions ..magic to put it precisely.. just like us when we marvel when a magician successfully pulls a trick.. these events feels the same only on global scale.
😂😂😂😂
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom