Mambo ni vice versa!

AbuuMaryam

JF-Expert Member
Dec 26, 2015
2,536
4,513
Zamani wakati nakua nilishajichorea future yangu

Yaani, nikimaliza elimu mpaka chuo kikuu naingia kazini moja kwa moja BOSS MKURUGENZI, mshahara mnono, najenga bonge la jumba. Naishi na ndugu zangu nawahudumia na kuwalisha mimi mwenyewe...nanunua bonge La gari la kutembelea...Mwisho kabisa NAOA YULE MWANAMKE WA KWENYE TAMTHILIA YA "THE PROMISE" alafu NAPATA WATOTO WAZURI WACHACHE...NAFURAHIA MAISHA...

(Wazazi hapo sasa washaanza kula matunda ya gharama walizoingia juu yangu.)

Uhalisia sasa:

Nimemaliza chuo nimeshapata mtoto na mwanamke nilimla kimaskhara wala sikumpenda.

Nimerudi nyumbani naingiza gharama tu zaidi.

Wazazi na ndugu wananiona HOFLESS TU WANAJUTIA GHARAMA WALIZOINGIA JUU YANGU WAKATI NASOMA...BORA WANGENUNULIA NG'OMBE TU WANGEKUNYWA MAZIWA LEO HII...

Wameshasahau ule mchoro tulisaidiana kuuchora wote walikuwa wakinambia "Mshahara wa kwanza jenga nyumba achana na gari."

Mambo ni vice versa.
 
Muda bado unao ni wewe tu mwenyewe kuset you are mindset kwamba the game is over or the game is not over. If the game is not over unabeba silaha zote za kivita na kuingia vitani kupambana. Kama the game is over endelea kukaa nyumbani na kulalamika muda utaongea.
 
Yani nacho shangaa kuhusu shule ni pale walimu wa division 3 wanamfundisha mwanafunzi anapata division 1 tena ya 7.
 
Back
Top Bottom