Mambo na fitu fyote fizuri finatoka Mbeya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mambo na fitu fyote fizuri finatoka Mbeya

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Midavudavu, May 7, 2012.

 1. M

  Midavudavu JF-Expert Member

  #1
  May 7, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 285
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Wajameni mpangaji mwenzangu kila siku ananitambia kuwa mambo na vitu vyote vizuri Tanzania vinatoka Mbeya. Nililikataa hili lakini siku zinavyosonga mbele nakaribia kuamini. Niiongezeeni data ili niamini zaidi. Anasema;
  1. demokrasia mbeya inaeleweka zaidi na watu kuliko sehemu nyingine
  2. wabunge makini wanapatikana mbeya
  3. wakulima wakubwa wanapatikana mbeya
  5 Mabonde mazuri ya kilimo yanapatikana mbeya
  6. kuna vyanzo vingi vya kuweza kuzalisha umeme
  7. ....................................................
   
 2. Nish

  Nish JF-Expert Member

  #2
  May 7, 2012
  Joined: Jul 22, 2011
  Messages: 732
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Biashara ya kuuza ngozi za watu
   
 3. J

  Jemc edes New Member

  #3
  May 8, 2012
  Joined: May 8, 2012
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wapiga nondo
   
 4. E

  Emmanuel_mtui Member

  #4
  May 8, 2012
  Joined: Apr 10, 2012
  Messages: 56
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  9.
  makanisa mengi karibu kila koo na dhehebu lake,
  10. Wanakozika watu wakiwa hai mby,
  11.waumini wengi wa kitulano watuhumiani ni wachawi mby.
  12. Walikompiga presider mawe ni mby.
  13, mengine ngoja nikumbuke,,
   
 5. somba kankara

  somba kankara Member

  #5
  May 8, 2012
  Joined: May 6, 2012
  Messages: 85
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  watu wasiojua kuoga mbeya
  machangu-------
  wehu wengi wanatoka-----
   
 6. brazilian

  brazilian JF-Expert Member

  #6
  May 9, 2012
  Joined: Feb 10, 2012
  Messages: 607
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Na makanisa mengi, mapasta NA MANABII feki inaongoza
  Kulia sana misiba
   
 7. ZeMangi

  ZeMangi JF-Expert Member

  #7
  May 9, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 439
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Duh!maharage mazuri na matamu,mbeya...muchele mzuri wa kyela, mbeya....wanaojifanya walokole, mbeya....wapiga puchu kwa sana,mbeya...,walogi,mbeya...wanaovunja ndoa zao,mbeya....mimi natokea,mbeya....
   
 8. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #8
  May 9, 2012
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,816
  Likes Received: 10,106
  Trophy Points: 280
  Wapiga nondo wako mbeya; Waabudu uchawi wengi wako mbeya na hata ukimwi ulienea zaidi mbeya; kweli fyitu fyote fyinatoka mbeya
   
 9. Angel Nylon

  Angel Nylon JF-Expert Member

  #9
  May 9, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 4,471
  Likes Received: 1,472
  Trophy Points: 280
  We Mangi unatokea mbeya gani aisee?
   
Loading...