Mambo muhimu ya chadema kujifunza kwa haraka

charityboy

Senior Member
Nov 11, 2010
138
4
Mambo muhimu ya chadema kujifunza kwa haraka

Ushauri wa bure kwa CDM:

-Zitto ni world player, wamuheshimu tena wamuombe radhi.
-Wawe makini na MBOWE, huenda akawa shushushu (pandikizi la serikali)
-Wabunge wake wasitafute sifa kwenye magazeti, duniani hakuna mbunge anayetoa pesa yake ya mshahara. Mnyika anaandaa mazingira ya ufisadi. Inabidi CDM imkanye haraka sana.
-CDM Hatuna uwezo wa kuendesha upinzani bungeni peke yetu. Ni lazima kuwashirikisha CUF, NCCR, TLP, UDP. Vinginevyo waTZ hawatatuelewa.
-Halafu ukweli ni kwamba CCM ilitushinda kwa halali, tusitumie hoja ya kuchakachua kutafuta support ya nchi za magharibi. Wazungu sio wajinga kiasi hicho. CDM ijipange ifanye kazi. KIKWETE alishinda.
-UDINI pia utatumaliza kama hatutakuwa stable kama CUF. CUF wameonyesha ukomavu wa hali ya juu sana. Ni muhimu kwa CDM kujifunza na kutafuta uzoefu kwa wakongwe kama MAALIM SEIF, Prof Lipumba, HAMAD RASHID na A.L MREMA.

Mimi ni mtetezi wa wanyonge (charityboy)​
 
Mawazoo dhaifu kutokana na upeo mdogo..Acha ushabiki kwa zitto na ccm, jadili mustakabali wa taifaa.
 
Mambo muhimu ya chadema kujifunza kwa haraka
Ushauri wa bure kwa CDM:

-Zitto ni world player, wamuheshimu tena wamuombe radhi.
-Wawe makini na MBOWE, huenda akawa shushushu (pandikizi la serikali)
-Wabunge wake wasitafute sifa kwenye magazeti, duniani hakuna mbunge anayetoa pesa yake ya mshahara. Mnyika anaandaa mazingira ya ufisadi. Inabidi CDM imkanye haraka sana.
-CDM Hatuna uwezo wa kuendesha upinzani bungeni peke yetu. Ni lazima kuwashirikisha CUF, NCCR, TLP, UDP. Vinginevyo waTZ hawatatuelewa.
-Halafu ukweli ni kwamba CCM ilitushinda kwa halali, tusitumie hoja ya kuchakachua kutafuta support ya nchi za magharibi. Wazungu sio wajinga kiasi hicho. CDM ijipange ifanye kazi. KIKWETE alishinda.
-UDINI pia utatumaliza kama hatutakuwa stable kama CUF. CUF wameonyesha ukomavu wa hali ya juu sana. Ni muhimu kwa CDM kujifunza na kutafuta uzoefu kwa wakongwe kama MAALIM SEIF, Prof Lipumba, HAMAD RASHID na A.L MREMA.

Mimi ni mtetezi wa wanyonge (charityboy)
Wewe hujui kuwa siku hizi CUF ni chama tawala? Hiki ni chama cha Kitaifa ambacho kinashiriki utawala wa zanzibar ambayo ni sehemu ya muungano hivyo hakiwezi kupingana na serikali yake wanpokuja kwenye muungano.mtaka yote kwa pupa hukosa yote hawawezi kuwa watawala halafu tena wapinzani angalia hata kauli zao
 
Ndugu yangu tulia na uzielewe siasa za bongo!!

Sijaona ulichosema labda lete mada kwa namna nyingine ili ueleweke.
 
ZITTO-MBOWE=0
MBOWE=serikali ya CCM
MNYIKA=aandaa ufisadi kwa kutoa mshahara wake
 
Back
Top Bottom