Perfect, very high reasoning. asante sana. All is done and I close the deal. (Nadhani limanisha kuwa Pharmacy hawezi kufanya MD)Mwambie aende Clinical Medicine, coz clinical medicine kwa uelewa wangu anaweza fanya pharmacy pia ila pharmacy hawezi kazi za clinical medicine
Njia panda! Nisaidieni aende wapi , with reason.
Vyote ni vyuo vya serikali amechaguliwa.
Nahisi kwa kuwa clinical medicine wanasoma mambo mengi maana nasikia watu wa C.O wanasoma vitu vya pharmacy, laboratory pamoja na nurseNaskia ukisoma clinical medicine ukitaka degree unachagua wewe tu uende wapiiii.
Ila ukisoma kozi zingine zisizokuwa CLINICAL MEDICINE degree unaenda kozi hiyo hiyo,sijui hili limekaaje ?
Hilo kweli mkuu.Nahisi kwa kuwa clinical medicine wanasoma mambo mengi maana nasikia watu wa C.O wanasoma vitu vya pharmacy, laboratory pamoja na nurse
Yaah alafu hivi mbona kama serikali imewatupa watu wa pharmacy maana nasikia ajira amna huko sijui shida nini mkuuHilo kweli mkuu.
Watu wa C.O husoma mambo mengi ambayo mtu akiyazingatia na kujiongeza kidogo anakuwa yuko vizuri
lengo ni kwenda MD, kama huwezi pata GPA ya kuweza kwenda MD over 4.5, preferably 4.7), nimemwambia bora aache atafute mambo mengineKwa mimi niliyepiga pharmacy, bora pharmacy. Nchi ambayo MD yupo kitaa bila kazi kwa CO kutoka ni kazi sana.
Kipi hukijui? Hivi unapopanga kwenda hospitali unaenda kumuona Pharmacist au Mganga? Je, kuna kituo cha Afya ambacho mkuu wake ni Pharmacist? Je wajua kuwa Pharmacist kazi yake ni kugawa au kuuza dawa iliyoandikwa na Mganga? Mpaka hapo hujaona kuwa Pharmacist ni mtumishi wa Mganga? Mpeleke akasome Clinical Medicine iwapo ana angalau D ya PhysicsNjia panda! Nisaidieni aende wapi , with reason.
Vyote ni vyuo vya serikali amechaguliwa.
Ndio maana famasi imekuwa haithaminiki kwa sababu imeonekana kama kazi yao kugawa dawa ambazo daktari ndio ameandika.Kipi hukijui? Hivi unapopanga kwenda hospitali unaenda kumuona Pharmacist au Mganga? Je, kuna kituo cha Afya ambacho mkuu wake ni Pharmacist? Je wajua kuwa Pharmacist kazi yake ni kugawa au kuuza dawa iliyoandikwa na Mganga? Mpaka hapo hujaona kuwa Pharmacist ni mtumishi wa Mganga? Mpeleke akasome Clinical Medicine iwapo ana angalau D ya Physics
Tupo nchi hizi. Ukienda Roma fanya kama waromaNdio maana famasi imekuwa haithaminiki kwa sababu imeonekana kama kazi yao kugawa dawa ambazo daktari ndio ameandika.
Hivyo uhitaji unakuwa sio mkubwa,lakini mfamasia kwenye nchi za wenzetu ni mtu ambaye anaheshimika sana
Ndio maana famasi imekuwa haithaminiki kwa sababu imeonekana kama kazi yao kugawa dawa ambazo daktari ndio ameandika.Kipi hukijui? Hivi unapopanga kwenda hospitali unaenda kumuona Pharmacist au Mganga? Je, kuna kituo cha Afya ambacho mkuu wake ni Pharmacist? Je wajua kuwa Pharmacist kazi yake ni kugawa au kuuza dawa iliyoandikwa na Mganga? Mpaka hapo hujaona kuwa Pharmacist ni mtumishi wa Mganga? Mpeleke akasome Clinical Medicine iwapo ana angalau D ya Physics
Ni kweli unalosema ndo hivyo tupo tanzania,inabidi tuende kwa mujibu wa haliTupo nchi hizi. Ukienda Roma fanya kama waroma
Kwani famasi inatofauti gani na mangi muuza duka...maana ye anakuwa amesomea bidhaa(dawa)... kutengenezea hatengenezi yeyeNdio maana famasi imekuwa haithaminiki kwa sababu imeonekana kama kazi yao kugawa dawa ambazo daktari ndio ameandika.
Hivyo uhitaji unakuwa sio mkubwa,lakini mfamasia kwenye nchi za wenzetu ni mtu ambaye anaheshimika sana
Ni mgawanyo wa kazi. Daktari naye haruhusiwi kugawa dawa, kuuza wala kufungua duka. Na ripoti zinaonyesha kuwa watu wengi wakiumwa, mtu wa kwanza kumuona ni mfamasia dukani.Kipi hukijui? Hivi unapopanga kwenda hospitali unaenda kumuona Pharmacist au Mganga? Je, kuna kituo cha Afya ambacho mkuu wake ni Pharmacist? Je wajua kuwa Pharmacist kazi yake ni kugawa au kuuza dawa iliyoandikwa na Mganga? Mpaka hapo hujaona kuwa Pharmacist ni mtumishi wa Mganga? Mpeleke akasome Clinical Medicine iwapo ana angalau D ya Physics
Vitu vikubwa ambavyo wafamasia wanasoma ni:Kwani famasi inatofauti gani na mangi muuza duka...maana ye anakuwa amesomea bidhaa(dawa)... kutengenezea hatengenezi yeye
Samahani mkuu hivi hapo namba 1 Daktari hajajifunza hivyo?Vitu vikubwa ambavyo wafamasia wanasoma ni:
1. Jinsi dawa inavyofanya kazi mwilini.
2. Jinsi ya kutengeneza dawa.
Hiyo ya kutoa dozi ni kitu kidogo sana, kinasomwa semester moja tu.