Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,631
- 4,225
Naona hapa, dogo kaamua kumsaidia mama yake... si mchezo!
Babu malizia story basi
Uhannga ukizidi
Khaaa!!!!!!!!!
Umemcheki hazbendi wake anavyosubiria?
Bro umehadimika sana siku izi...!Aaa wapi, tembo hawezi kuuliwa na mamba, Wakongo wanasema "nguvu ya mamba kumai", na mamba kesha tolewa majini. Ila picha ya kwanza dogo kafyata mkonga wake!
..Na mamsapu ametulia tu ndio nini kutoa ushirikiano au hajagundua tofauti?? Dah! Yaelekea jamaa alikuwa na ngale ya hatari...Umemcheki hazbendi wake anavyosubiria?
Naona hapa, dogo kaamua kumsaidia mama yake... si mchezo!
..Na mamsapu ametulia tu ndio nini kutoa ushirikiano au hajagundua tofauti?? Dah! Yaelekea jamaa alikuwa na ngale ya hatari...
Nafahamu hapa ni habari za picha. Ngoja nitoke nje kidogo kwa wapenzi wa hizi vita.
Angalia hii vita ilivyokuwa ngumu maana hiyo ya Tembo na mamba ni cha mtoto......
Video imeangalia na watu zaidi ya milioni 50.