Mambo mbugani hapo...Vita ya Tembo na Mamba!!!!

Ab-Titchaz

JF-Expert Member
Jan 30, 2008
14,631
4,216
_50059690_50059686.jpg
_50062966_50059687.jpg
_50062967_50059688.jpg
_50062968_50059689.jpg
 
Aaa wapi, tembo hawezi kuuliwa na mamba, Wakongo wanasema "nguvu ya mamba kumai", na mamba kesha tolewa majini. Ila picha ya kwanza dogo kafyata mkonga wake!
 
Babu malizia story basi

Mkuu,

ngoma draw hio!...Mamba alirudi majini baada ya tembo kuona haina haja kuendeleza ubabe!
Kisha Tembo walirudi baadae wakan'wa maji bila wasiwasi.

Kama alivyosema Hussein Njovu hapo juu, nguvu ya mamba ni ndani ya maji, ukimtoa nje basi nd'o kwishnei.
 
Nafahamu hapa ni habari za picha. Ngoja nitoke nje kidogo kwa wapenzi wa hizi vita.

Angalia hii vita ilivyokuwa ngumu maana hiyo ya Tembo na mamba ni cha mtoto......

Video imeangalia na watu zaidi ya milioni 50.

 
Last edited by a moderator:
Nafahamu hapa ni habari za picha. Ngoja nitoke nje kidogo kwa wapenzi wa hizi vita.

Angalia hii vita ilivyokuwa ngumu maana hiyo ya Tembo na mamba ni cha mtoto......

Video imeangalia na watu zaidi ya milioni 50.Mkuu hii kitu ni classic mpaka leo.Shukran kwa kutukumbusha mambo ya mbugani...survival for the fittest!!!
 
Last edited by a moderator:
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom