Mambo matatu muhimu ya kuzingatia katika maisha ya mjini

MNYISANZU

JF-Expert Member
Oct 21, 2011
7,048
1,102
1.chakula, 2.mahali pa kulala na 3.kuvuka barabara. Tupia mengine kama yapo.... Twende kazi sasa
 
Namshangaa Director kasahauje....!!!!!!.
Kilauri ndo mpango mzima firstly, secondly ndo hayo aliyosema.

hivi bila kilauri...mhimili ungeihimili dunia kweli.....?tungepataje majira ya mvua.....?.....milky way ingekuwepo?.....hebu aache hizo bana......
 
hivi bila kilauri...mhimili ungeihimili dunia kweli.....?tungepataje majira ya mvua.....?.....milky way ingekuwepo?.....hebu aache hizo bana......

Nashanga.
Vp sasa Preta ule mpango wetu?
Utajifanya umeusahau.
 
Last edited by a moderator:
w/end hii nitakuwepo jimbo la uchaguzi....ila vijana wataendelea kula duck pale.......

Hhhhh ngoja niende kijijini kwangu Hungumalwa kama weekend hii hutakuwepo basi sina hamu na pale tena Preta
 
Last edited by a moderator:
Ukija mjini lazima ukutane na haya:
1. Watu kujilundika kwa meza za muuza magazeti, halafu wakitoka hapo ni wengi wa habariii kama wamesoma habari nzima....
2. Karibia kila raia anamiliki Nokia Tochi ili kujiepusha kuibiwa BB, Samsung, iPhone nyakati za usiku au purukushani....
3. Daladala huwa haijai kwani sio ndoo ya maji, na wakati wowote inaweza kubadili ruti....
4. Hakuna muda maalumu wa kufungua au kufunga baa....
5. Karibia kila mwanamke anavaa suruali, haya mambo kijijini hakuna kabisaaaa...
6. Mjini huwezi kushuhudia nywele za mwanamke ng'oo maana huwa wanavaa nywele za MAITI wa KIHINDI na KIARABU...
7. Ndio sehemu pekee wanawake wanamili VIRIBA TUMBO...

Niendeleeeee???
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom