1.chakula, 2.mahari pa kulala na 3.kuvuka barabara. Tupia mengine kama yapo.... Twende kazi sasa
4. Kilauri
hili ndilo lilikuwa jambo muhimu la kwanza....sijui kasahauje....
Namshangaa Director kasahauje....!!!!!!.
Kilauri ndo mpango mzima firstly, secondly ndo hayo aliyosema.
w/end hii nitakuwepo jimbo la uchaguzi....ila vijana wataendelea kula duck pale.......
Hhhhh ngoja niende kijijini kwangu Hungumalwa kama weekend hii hutakuwepo basi sina hamu na pale tena Preta
nenda bana....ngoja nimuite Lily Flower na Erickb52 wakupe company.....pazuri sana ujue......
mimi huyu nisahau....?......sio kirahisi hivyo.....