Mambo matano yatakayoipa CCM ushindi wa kishindo katika chaguzi zijazo

Nakwambia kwa kinywa kipana.

Ccm haina na haitakuwa na uwezo wa kushinda kwa ushindi wa kushindo kwenye uchaguzi wowote.

Nikulize unaposema itashinda kwa ushindi wa kishindo jee itajikubalisha kutotumia nguvu za zaida? Ikiwamo policcm, nec, n.k

Madedi mlikuwa mnawatetea mahakamani wasimamie chaguzi kwa manufaa ya upinzani?
 
Ikiwa imebaki miezi miwili tuingie katika uchaguzi za serikali za mitaa na mwaka mmoja tuingie kwenye uchaguzi mkuu, mtazamo wa wananchi juu ya siasa umebadilika sana. Vyama vya upinzani vimeingiwa na hisia za kushindwa katika chaguzi mpaka kuwa na mtazamo wa kuhisi kushindwa kwao kunatokana au kutatokana na CCM. Hizo ni dalili za mwanzo kabisa za kuonyesha ushindi wa kishindo kwa CCM katika chaguzi zilizopo mbeleni ni Dhahiri na kama hali ya CCM kukubalika hivi itaendelea tuna uhakika wa 98% ya ushindi katika chaguzi hizo.

Kwa tathmini ndogo niliyoifanya, nimegundua kuwa CCM itapata ushindi wa kishindo katika chaguzi zijazo kutokana na mambo haya matano:
  • Uongozi thabiti wa viongozi wetu wakuu wa chama
Uongozi wa juu wa chama chetu umekuwa mstari wa mbele kukemea na kudhibti mienendo isiyofaa ya kimaadili kwa wanachama na viongozi wengine. Tumeshuhudia mara nyingi Katibu mkuu wa CCM akikemea mienendo isiyofaa ndani ya CCM. Hali hiyo imejenga Imani kubwa sana kwa wananchi juu ya uimara wa CCM katika kuwasimamia wanachama wake hususani wote watakaoomba ridhaa ya kuchaguliwa kupitia CCM. Kwa hali hiyo wananchi wana uhakika wa kuchagua kiongozi mzuri kupitia CCM na hivyo kufanya wagombea wote kuuzika na kuchagulika kwa kishindo.

  • Wapinzani kuwa wanaharakati
Mtazamo wa wananchi juu ya masuala ya siasa umebadilika. Asilimia kubwa ya watanzania wanaweza kutofautisha kati ya siasa na harakati na wanaona vyama vya upinzani si vya siasa ila vya harakati. Watanzania wameona madhara ya harakati katika siasa na mojawapo ni kushindwa kushikamana katika masuala muhimu ya maendeleo, harakati zinasababisha kutetea upande ambao maslahi ya taifa yako shakani na pia harakati zinachangia kwa kiasi kikubwa kukosa uzalendo. Hayo yote watanzania wameona athari zake na wengine wanaona si vizuri kubeba mzigo wa wanaharakati begani wakiweka rehani uzalendo wa taifa lao. Kwa mantiki ya kukataliwa kwa harakati , ushindi wa kishindo kwa CCM ni Dhahiri.

  • Maendeleo yasiyo na chama.
Kauli ya Rais wetu kuwa maendeo hayana chama imewapa hamasa wananchi kuikubali na kuipenda CCM Zaidi. Kauli hiyo inadhihirisha kuwa rais wetu haangalii nani awe wapi katika kusukuma gurudumu la maendeleo ya nchi yetu mbele. Mifano ipo mingi na Dhahiri Rais kuwatumia hata wapinzani wenye nia ya kuwaletea wananchi maendeleo. Kitendo cha kufanya hivyo kimefanya wananchi waone CCM ni chama chenye nia ya dhati ya kuwaletea wananchi maendelea bila kujali itikadi zao za kisiasa, kidini, n.k. kitendo hicho kimeiongezea Imani CCM na kwa hakika ushindi wa kishindo ni Dhahiri.

  • Ahadi zinazotekelezeka
Wananchi wanataka kuona walichoahidiwa kinafanyika na matokeo yanaonekana. Kupitia ilani ya CCM tathmini iliyofanywa mikoa na sehemu mbalimbali imeonesha kuwa ilani imetekelezwa kwa karibu 90% mpaka sasa. Kwa maana hiyo mpaka mwaka huu unaisha CCM itakuwa imetekeleza ilani yake 100%. Kasi hii ya utekelezaji wa ilani na ahadi imeongeza uaminifu na imani ya wananchi kuendelea kuichagua CCM tena kwa kishindo kikubwa. Wananchi wanasema CCM INATEKELEZA ILANI NA ILANI, SISI TUTAKELEZA KUWACHAGUA KWA KISHINDO. TUTEKELEZE PAMOJA.

  • CCM kuendelea kuwa chama cha ukombozi ngo mkakati.
Ukiachana na dhima ya ukombozi wa kisiasa, CCM kimeendelea kuwa chama cha ukombozi wa kiuchumi na kifikra kwa mtanzania. Sera za kiuchumi na maendeleo za CCM zimeonesha ndizo sera rafiki kwa ukombozi wa mtanzania kiuchumi katika karne hii. watanzania bado wanaamini ukombozi wa kweli wa mtanzania kiuchumi utatokana na sera za CCM. Imani hiyo ya wananchi juu ya CCM inatupa Imani kuwa CCM itashinda kwa kishindo kwa chaguzi zijazo.
Hujataja WIZI wa kura! Watendaji wa Kata kuitwa magogoni ni mpango mkakati.
 
  • CCM kuendelea kuwa chama cha ukombozi

ulivyoviandika hakuna hata kimoja kitaipeleka CCM ikulu
 
Polisi Tanzania nzima wapo kama 50000, Uchaguzi wa 2015 CCM ilipata kura milion 8, fafanua hapo mbeleko ya polisi imetumikaje ?
huwa Napata shida mno kujibu hoja kama hizi za watu ambao ni middle class maadam wao wapo safi,watoto wao wanasoma on our so called international schools,wanatibiwa kwenye private hospitals etc stc na wanajifanya hawaoni kinachojili on the ground,kuna uchaguzi unakuja hivi karibuni bila shaka unaelewa nani anasimamia uchaguzi huo,una tume ya uchaguzi ambayo ni kichekesho tu ,ipo taaifani tu na matokeo yake huwezi kuya challenge mahakamani!playing fields za vyama vya kisiasa inapendelea chama dola,wao wanafanya mikutano ila oppositions wasubiri uchaguzi!wewe hulioni hili ILA utakuwa wa kwanza to comments yanayotokea kwenye uchaguzi wa nchi zingine zinazojielewa,dunia gani umeona uchaguzi unasimamiwa na taasisi ya serikali,wao ndio wanaohesabu na kutoa matokeo,next time try to read to understand nilipowahusisha polisi na uchaguzi sikuwa na maana ya kura zao but utendaji wao.Tanzania bila ccm inawezekana na itakuja tokea in one of our generations,wewe tulia na kula raha for now
 
Hivi unawezaje kushangilia ushindi ambao mpinzani wako unayeingia naye ulingoni ni mtu aliyefungwa mikono yote kwa nyuma na wewe mikono yako iko huru na mnaambiwa sasa muanze mpambano? Upinzani hautashinda kwasababu umefungwa mikono hautaweza kupambana huku ukiwa umefungwa mikono wakati chama tawala chelewe kiko huru kinafanya vyovyote kinavyotaka - Unawezaje kushangilia ushindi wa aina hiyo?!

Kama kweli chama tawala kinataka ushindi wa kweli unaostahili kushangilia, basi kiifungue mikono ya mpinzani aliye ulingoni ili tuone mpambano wa kweli - wa wanaopambana wote wakiwa huru ulingoni, hapo chama tawala kikishinda, basi kina haki zote, kustahili kushangilia, vinginevyo kinachoendelea sasa hakistahili ushangiliaji, si mchezo wa haki hivyo haustahili ushangiliaji.
 
Back
Top Bottom