kirengased
JF-Expert Member
- Jan 10, 2016
- 5,987
- 6,646
Visasi na visa!!
na aliyenunua bombadier na kujenga chato mbona hawashtakiwi
Hv mnunuzi wa bombadia yeye anatumiaje madaraka
Kwahiyo bajeti haipitishwi na bunge tena kupitia mawaziri wake kupeleka muswada bungeni?? Au siku hizi mawaziri hawawezi kuagizwa na rais kupeleka bajeti yenye manunuzi ya bombardier??
Duh kama wwe ni mwana CCM naelewa kwanini viwanda tunaviskia redioni tu
Naomba kufahamu mitaa unakopatikana mkuu nina shida na wewe,,,
Soma katiba uelewe mamlaka ya raisi kabla hujabwabwaja. Raisi hajavunja katiba wala sheri. Nyie bavicha ni wavivu wa kusoma mnasubili tu mange aseme ndo mrukieKwahiyo bajeti haipitishwi na bunge tena kupitia mawaziri wake kupeleka muswada bungeni?? Au siku hizi mawaziri hawawezi kuagizwa na rais kupeleka bajeti yenye manunuzi ya bombardier??
Duh kama wwe ni mwana CCM naelewa kwanini viwanda tunaviskia redioni tu
Soma katiba uelewe mamlaka ya raisi kabla hujabwabwaja. Raisi hajavunja katiba wala sheri. Nyie bavicha ni wavivu wa kusoma mnasubili tu mange aseme ndo mrukie
Nmeshakwambia bajeti ya serikali kuu huwa inapitishwa bungeni pekee sasa unapofanya manunuzi ya mabillion yote yale bila idhini ya bunge huoni bunge linakuwa halina maana kuwepo??Soma katiba uelewe mamlaka ya raisi kabla hujabwabwaja. Raisi hajavunja katiba wala sheri. Nyie bavicha ni wavivu wa kusoma mnasubili tu mange aseme ndo mrukie
kwanza alisababisha tushtakiwe,halafu akalipa cash bombadier na kadri siku zinavyopita riba inazidi ongezekaHivi tukiipoteza Bombardier iliyozuiwa Canada, Raisi Magufuli atakuwa ameisababishia serikali hasara ya kiasi gani?
Na kati ya Tido na Magufuli nani atakuwa amefanya madudu zaidi?
Thats a rubbish transaction made by a mad manHv mnunuzi wa bombadia yeye anatumiaje madaraka
Nipe kifungu cha sheria alichovunja usiseme usiseme kutoka hewani. Raisi ana uwezo wa kukataa budjeti zilizopangwa na bunge kutokana na pesa kutokuwepo au amezipangia kwingine. Soma ibara ya 45(i)Nmeshakwambia bajeti ya serikali kuu huwa inapitishwa bungeni pekee sasa unapofanya manunuzi ya mabillion yote yale bila idhini ya bunge huoni bunge linakuwa halina maana kuwepo??
Hamtasema anavunja sheria sababu mnamuona malaika ila angefanya hivo meya wa upinzani ndio angevuliwa kiti kisa kutumia madaraka vibaya!!
kitu cheupe kinaenda kuchukua mtu
Pia alikubali kuwa alikuwa msimamizi katika shughuli za TBC lakini sio kwa shughuli zote.
Correction: Bajeti ya serikali hupelekwa bungeni kama randama siyo kama mswadaKwahiyo bajeti haipitishwi na bunge tena kupitia mawaziri wake kupeleka muswada bungeni?? Au siku hizi mawaziri hawawezi kuagizwa na rais kupeleka bajeti yenye manunuzi ya bombardier??
Duh kama wwe ni mwana CCM naelewa kwanini viwanda tunaviskia redioni tu