Mambo Matano aliyoyakubali Tido Mhando baada ya kusomewa maelezo

Naomba kufahamu mitaa unakopatikana mkuu nina shida na wewe,,,

f16c639fe38549aeee965e393751c010.jpg
 
Kwahiyo bajeti haipitishwi na bunge tena kupitia mawaziri wake kupeleka muswada bungeni?? Au siku hizi mawaziri hawawezi kuagizwa na rais kupeleka bajeti yenye manunuzi ya bombardier??

Duh kama wwe ni mwana CCM naelewa kwanini viwanda tunaviskia redioni tu
Soma katiba uelewe mamlaka ya raisi kabla hujabwabwaja. Raisi hajavunja katiba wala sheri. Nyie bavicha ni wavivu wa kusoma mnasubili tu mange aseme ndo mrukie
 
  • Thanks
Reactions: cmp

Nmeshakwambia bajeti ya serikali kuu huwa inapitishwa bungeni pekee sasa unapofanya manunuzi ya mabillion yote yale bila idhini ya bunge huoni bunge linakuwa halina maana kuwepo??

Hamtasema anavunja sheria sababu mnamuona malaika ila angefanya hivo meya wa upinzani ndio angevuliwa kiti kisa kutumia madaraka vibaya!!
 
Hivi tukiipoteza Bombardier iliyozuiwa Canada, Raisi Magufuli atakuwa ameisababishia serikali hasara ya kiasi gani?

Na kati ya Tido na Magufuli nani atakuwa amefanya madudu zaidi?
kwanza alisababisha tushtakiwe,halafu akalipa cash bombadier na kadri siku zinavyopita riba inazidi ongezeka
 
Bongo bhana yaani vitu Vizuri Na watu wazuri ndio wanatiwa presha kweli kweli....
Mungu atunusuru..
 
Hata hivyo kesi za wakubwa hazinaga kifungo kirefu. Rejea kesi ya Amatus Liyumba aliishia kifungo cha miaka 2!
Rejea kesi ya Basil pesambili Mramba na mwenzake Daniel Yona waliishia kifungo cha nje kwa kwenda kusafisha hospital ya sinza Palestrina kama sijakosea.

Kifupi sijasikia kigogo kahukumiwa miaka 7 au 15 au 30. Kama yupo nitajieni mnisahihishe na nakubali kusahihishwa katika hili.
 
Ifike mahala sheria zetu zifanyiwe marekebisho, Mtendaji Wa serikali yeyote at analysis a babushka hasara serikali kutokana na yeye mwenyewe kutozingatia sheria na kuisababishia hasara serikali , Basi Mali zote za Mtendaji huyo Wa serikali zitaifishwe na serikali ili zirudishwe serikali ni. Kisha ndio aende jela.
 
Tukutane 2604. Hatushindwiiii. Ni lazima tupambanie Uhuru wetu. Tukutane barabarani. Mtapiga risasi tutapiga mayowe.
 
Tukutane 2604. Hatushindwiiii. Ni lazima tupambanie Uhuru wetu. Tukutane barabarani. Mtapiga risasi tutapiga mayowe.
 
Nmeshakwambia bajeti ya serikali kuu huwa inapitishwa bungeni pekee sasa unapofanya manunuzi ya mabillion yote yale bila idhini ya bunge huoni bunge linakuwa halina maana kuwepo??

Hamtasema anavunja sheria sababu mnamuona malaika ila angefanya hivo meya wa upinzani ndio angevuliwa kiti kisa kutumia madaraka vibaya!!
Nipe kifungu cha sheria alichovunja usiseme usiseme kutoka hewani. Raisi ana uwezo wa kukataa budjeti zilizopangwa na bunge kutokana na pesa kutokuwepo au amezipangia kwingine. Soma ibara ya 45(i)
 
Pia alikubali kuwa alikuwa msimamizi katika shughuli za TBC lakini sio kwa shughuli zote.

Sasa shughuli nyingine zilisimamiwa na nani? Na huyo 'asiyejulikana wazi', kwa nini hajafikishwa mahakamani? Au hata hakimu kumba huyo mwingine au wengine nao wafike mahakamani? Au shughuli walizosimamia hao/ huyo mwingine/ wengine hazihusiani na hiyo hasara?
 
Kwahiyo bajeti haipitishwi na bunge tena kupitia mawaziri wake kupeleka muswada bungeni?? Au siku hizi mawaziri hawawezi kuagizwa na rais kupeleka bajeti yenye manunuzi ya bombardier??

Duh kama wwe ni mwana CCM naelewa kwanini viwanda tunaviskia redioni tu
Correction: Bajeti ya serikali hupelekwa bungeni kama randama siyo kama mswada
 
Yule Dereva wa RPC/Arusha atafikishwa mahakamani kuisababishia serikali hasara kwa over speed na kusababisha gari kuharibika?
Reckless driving na boss akiwepo.
Ashitakiwe
 
Back
Top Bottom