Mambo makubwa waliofanya wabunge wa CHADEMA majimboni kwao

¤Ambulance kwa Ajili ya Wagonjwa zimenunuliwa na Nyerere Huko Musoma

¤Hospital imewekewa Umeme na Maji na Mbunge wa Nyamagana na Kurekebishwa baada ya Magamba kuitekeleza

¤Barabara za Mawe zinatengenezwa MWANZA kupunguza Gharama za Barabara za Lami kwa Njia zisizo Kuu
 
Hivi nyie hamna hata akili ya kufikiri? hivi mnadhani kila mtu ni mfuasi wa CHADEMA? acheni mambo ya kidikteta. hii inaonesha kabisa wafuasi wa CHADEMA hamna hoja zaidi ya ushabiki tu. Mnataka tukubali wakati sio? Mnaahidi msichokiweza na mmetekwa pasipo hata kufikiri. Mimi sio kipofu lazima tuhoji na mtoe majibu sahihi.

Hapa mnaaza kutukana, hamtoi hoja yoyote. Je tuawaamini tu kwa lipi, hamtoi hoja badala yake mnatoa matusi.
Hivi chadema ni chama cha matusi?

Huu ni ujinga kupelekwa bila kuhoji. Huu ni ujinga.
 
Mimi nausongo na mbunge wetu jimbo la Ubungo, sijaona chochote anafanya kwetu Kimara, kama ni shida ya maji ipo palepale, kama ni barabara mbovu ndio zinazidi kuwa mbovu (haswa ile ya boda boda ya kufika Mlimani, imekuwa ni short cut ya magari yaendayo mjini) ingebidi ipewe mkakati wa kupanuliwa. Hakuna mababiliko yote yote, yaani ni bora enzi za CCM maana barabara zetu za vifusi zilikuwa zinakarabatiwa na madaraja kujengwa

Nimekua najiuliza jinsi wananchi walivyo wepesi wa kudanganyika. Tangu wabuge wa CHADEMA wachaguliwe hakuna chochote walichofanya zaidi ya kupiga kelele ambazo hazitusaidii sisi wananchi.

Wanapiga kelele na kulalamika kila wakati. Mdee kafanya nini sasa jimbo la Kawe? tangu achaguliwe sijawahi hata siku moja kumuona akija japo kuongea na wananchi. Je huyu kweli ni mwakilishi wetu? au wanawakilisha mawazo yake?

Huu uwakilishi unamaana gani sasa hapa.

Wanataka wajipatie sifa ili malengo yao yatimie. Tuwe makini sana na ujanja wao.
 
Kuwa mkweli ndugu, hata kama huwapendi lakini sifa zao wape! Na wale akina watoto na wazazi wao walioangua kilio siku hukumu ya kamanda Lema ilipotolewa (kutokana na kuhofia kukosa mahitaji na ada za shule) walikodiwa kama waliokodiwa kumlilia Maige????????
Njoo hospitali ya manispaa ya Iringa uone kazi ya Mh.MSIGWA! Nenda kaonane na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Hai akupe taarifa ya mchango na kazi njema ya kamanda MBOWE.

Haya ni machache tu!

EJL

Nimekua najiuliza jinsi wananchi walivyo wepesi wa kudanganyika. Tangu wabuge wa CHADEMA wachaguliwe hakuna chochote walichofanya zaidi ya kupiga kelele ambazo hazitusaidii sisi wananchi.

Wanapiga kelele na kulalamika kila wakati. Mdee kafanya nini sasa jimbo la Kawe? tangu achaguliwe sijawahi hata siku moja kumuona akija japo kuongea na wananchi. Je huyu kweli ni mwakilishi wetu? au wanawakilisha mawazo yake?

Huu uwakilishi unamaana gani sasa hapa.

Wanataka wajipatie sifa ili malengo yao yatimie. Tuwe makini sana na ujanja wao.
 
hajatumwa ila anasema jambo lililo dhahiri.
the unseen is illustrated by the seen.

ngoja niwape jibu sahihi wakuu,
ni kwamba wabunge wa cdm wanachofanya ni kupigania maslahi ya nchi kwanza kwa kuweka mambo sawa hasa sera za nchi na taratibu nyingine zote ikiwemo na katiba ili kuwe na fursa sahihi kuleta maendeleo ya kweli huku chini(majimboni - vijijini).
Ukisema upiganie ahadi ulizoahidi wakati sera na taratibu zinapindishwa na chama tawala utajikuta unapigana na ukuta wa ccm(magamba)
 
Nimekua najiuliza jinsi wananchi walivyo wepesi wa kudanganyika. Tangu wabuge wa CHADEMA wachaguliwe hakuna chochote walichofanya zaidi ya kupiga kelele ambazo hazitusaidii sisi wananchi.

Wanapiga kelele na kulalamika kila wakati. Mdee kafanya nini sasa jimbo la Kawe? tangu achaguliwe sijawahi hata siku moja kumuona akija japo kuongea na wananchi. Je huyu kweli ni mwakilishi wetu? au wanawakilisha mawazo yake?

Huu uwakilishi unamaana gani sasa hapa.

Wanataka wajipatie sifa ili malengo yao yatimie. Tuwe makini sana na ujanja wao.
We unge pumzikatu coz we ni wali wa mtu!kilaza mkubwa.
 
mtoa hoja kuwa kama mwelewa acha maji taka yako hapa utaumbuliwa? kwanza nakutajia baadhi ya mambo ya kitaifa ELIMU YA KIRAIA KWA WOTE 100%, Kutetea wanjonge mifano michache tu....Mipaka ya misitu na mashamba mkoani pwani, Kutaja wezi wakubwa wa nchi hii katika mikutano ya hadhara.....misaada ya kisheria kwa watanzania wanaoonewa....sera mbadala na zinazotekelezeka(soma budget mbadala kama unajua kusoma), usimamizi wa uswa na dhana ya uwajibikaji katika munispaa na halmashaui mfano KARATU, MOSHI, IRINGA, MWANZA,UKEREWE,ARUSHA YA SASA NI TOFAUTI KABISA,kutembelea wananchi waliosahaulika na kuwapa faraja na matumaini sina muda nina kitabu cha QUIRE 9 za mambo CDM imefanya kupitia wabunge wao mpaka sasa maana wabunge wa chadema hawana mipaka kila mahali wanasaidia
 
Nimekua najiuliza jinsi wananchi walivyo wepesi wa kudanganyika. Tangu wabuge wa CHADEMA wachaguliwe hakuna chochote walichofanya zaidi ya kupiga kelele ambazo hazitusaidii sisi wananchi.

Wanapiga kelele na kulalamika kila wakati. Mdee kafanya nini sasa jimbo la Kawe? tangu achaguliwe sijawahi hata siku moja kumuona akija japo kuongea na wananchi. Je huyu kweli ni mwakilishi wetu? au wanawakilisha mawazo yake?

Huu uwakilishi unamaana gani sasa hapa.

Wanataka wajipatie sifa ili malengo yao yatimie. Tuwe makini sana na ujanja wao.

Upepo haupimwi kwa ukilaza wa namna hiyo!! Pole!.
 
Asante kwa maoni mazuri yenye hekima na busara

Hata mimi naunga mkono zito huko kigoma hana kazi kwasababu ahadi zake zitazidiwa ile ahadi ya kuibadilisha kigoma kuwa dubai ila tatizo lipo kwa yule kiongozi wenu anayeishi huko Gombe kwani magorofa yatamfanya ahame yeye na wale jamaa zake kwi! kwi! kwi ha ha ha
 
Magwanda wanaposhikwa pazuri huanza kufoka na kulalamika. Jasho kwenye magwanda ya khaki hutoa harufu ya kikwapa.
 
Katika watu wenye mawazo VIZA wewe unaongoza. Wewe ulitaka halima akuletee hela nyumbani kwako? Chemsha bongo yako. Information is POWER. Hawa CHADEMA wamejitahidi sana kutupa taarifa motomoto za madudu serikali inayofanya. CDM imekuwa kama remote control kwa ChamaCha Majambazi wa nchi hii. CDM IS THE ONLY OPPOSITION PART THAT ACTS AS A MONITOR FOR THE CCM. Umenipata hapo? Ukiona kinachofanywa na CCM kwa siku za hivi karibuni ni kutokana na kuogapa kichapo cha CDM.

THINK BIG
 
hoja yako haina msingi, unazungumzia CHADEMA kwa muda wao, kwani hao CCM waliokaa muda wote huo tangu uhuru wameleta nini??

wape muda kama uliovyo wapa CCM alafu ndo uwalaumu.
 
hoja yako haina msingi, unazungumzia CHADEMA kwa muda wao, kwani hao CCM waliokaa muda wote huo tangu uhuru wameleta nini??

wape muda kama uliovyo wapa CCM alafu ndo uwalaumu.

Acha hizo ndoto. kama wameshindwa kidogo je wataweza kikubwa? au ndio kuwa na wabunge wa viti maalumu kutoka sehemu moja? je wanawakilisha nini? Hatakuja kuwaona na kusikiliza wananchi tuwape mda?
je Mdee yuko busy kwa ajili ya nini? wacha hivyo ndugu yangu.
 
Mkodi mkusanye nyinyi muweke kwenye mitumbo yenu halafu uende chadema kudai maendeleo wapi na wapi? naona unajisahau
 
Mkodi mkusanye nyinyi muweke kwenye mitumbo yenu halafu uende chadema kudai maendeleo wapi na wapi? naona unajisahau

Hivi wewe kwa akili zako zote umejitahidi kufiri ukaishia hapa!! wabunge wanachaguliwa kwa ajiri gani?
Mdee ni mwakilishi wa wananchi yuko busy na kulalamika kwenye majukwaa na kuacha wananchi wake hasikilizi hata hoja zetu. Lo!!
 
NN
Nyongeza: kwa taarifa tu mimi naishi Jimbo la Kawe na Mdee amefanya mikutano maeneo yafuatayo na kushirikiana na wananchi katika maendeleo kama shule - Kata ya kunduchi alifanya mkutano mwezi wa 12 mwaka jana alichangia 6,000,000 kwa ajili ya ujenzi wa fensi shule ya Mtakuja, kata ya Bunju alifanya mkutano mwezi wa pili wenyeviti wa mtaa wa ccm wakakataa kuhudhuria lakini wanachi wakaja wengi akaweka mikakati kadhaa ( siitaji ili nione majibu yako kwanza), Kata ya Mbweni alifanya mkutano mwezi wa nne, ulitaka akupigie simu?

Huyo Anna hajui matatizo yalokuwepo kabla Mdee hajashika hatamu,pia hajui namna mbunge anavotatua kero za wananchi na wala hajui jinsi gani ni vigumu kufanya kazi ya kuwaletea wananchi maendeleo kupitia CDM wkt kilichoko madarakani ni............mpe mbunge wetu ushirikiano ACHA KUTUMIKA.Nashukuru kwa kumfafanulia japo kidogo
 
Mimi niko jimbo la kawe acheni kusema uongo. Sijawahi kumuona hata siku moja, jamaa anakuja kwa siri siri tu. Hivi kujakuongea na wananchi mkutano wa hadhara ni CCM wanakataza? Je kama amefanya mambo yapi hebu yataje hapa tuyasome.
Acha bwana uongo huo.
 
Back
Top Bottom