Mambo makubwa waliofanya wabunge wa CHADEMA majimboni kwao

Hapanam CCN haikuwepo tangu Uhuru. Halafu hao waanzilishi wa Chadema walitokea wapi? huko walifanya nini na wakati wao wako huko nchi ndiyo ilikuwa hohehahe.
wewe kichaa,hujui nyazifa zinagawiwa kwa kujuana???wewe mwenyewe hapo kwa sababu ni kibara na unatarajia one day walau upate hata viti maalum vya wanaume ili upate.lakini kumbuka wanawake wanavilipia malipo yasiyosahaulika,sijui wewe utalipa na nini?????
 
Sina hakika kama wewe ni MTU mwema kwa cdm tunahitaji kujipanga na kuwambia ukweli wabunge kwani so far tofauti yao na wanaccm ktk kutuletea maendeleo ni ndogo mno. na pili kumbuka kasoro hizi tunazoziona kwa CCM siku CCM tukipata nchi hii inawezekana kabisa tukashindwa hasa tispojipanga kuperfom kwa sasa, na kwa maana hiyo kasoro itakuja onekana zaidi kuliko kwa hawa ccm. zingatia histori ya maisha inaonekana kuwa kila siku inayokuja watu huona heri ya jana.

leo ndiyo nimejua kuna ccm mbili
 
Nimekua najiuliza jinsi wananchi walivyo wepesi wa kudanganyika. Tangu wabuge wa CHADEMA wachaguliwe hakuna chochote walichofanya zaidi ya kupiga kelele ambazo hazitusaidii sisi wananchi.

Wanapiga kelele na kulalamika kila wakati. Mdee kafanya nini sasa jimbo la Kawe? tangu achaguliwe sijawahi hata siku moja kumuona akija japo kuongea na wananchi. Je huyu kweli ni mwakilishi wetu? au wanawakilisha mawazo yake?

Huu uwakilishi unamaana gani sasa hapa.

Wanataka wajipatie sifa ili malengo yao yatimie. Tuwe makini sana na ujanja wao.

Tuwe makini na ujanja wako. Tumia akili wa kufuatilia siasa za Tanganyika. Sidhani kama akina Mdee wasingepiga kelele ungeweza hata kuchangia hapa JF. CDM na wabunge wake wamefanya makubwa katika Tanganyika pasipokujali itikadi ya vyama mpaka baadhi wananchi wameamka na kuelewa mabaya na mazuri (Jinsi nchi yao inavyotafunwa) Maendeleo gani ambayo unategemea Mdee alete wakati kuna vikwazo kibao kutoka kwenye chama cha ccMafisi. CCMafisi bado hawajakubali kuwa upinzani sio uadui ivyo wanakata/wanakwamisha wapinzani katika mjimbo yao ili waendelee kuwadanganya waTanganyika. HAKUNA MAENDELEO YA KWELI KAMA KUWAPA WATANGANYIKA ELIMU YA UELEWA KAMA INAVYOTOLEWA SASA NA CDM.
 
Benchmark nzuri iwe kwa wabunge wa CCM(Hamije,Rita Mlaki) ambao wametawala majimbo zaidi ya miaka 50 Mdee ndiyo anaingia mwaka tatu na muda wake bado. Swali la Msingi unaweza tupatia minutes za hicho kikao ambacho ulifanya na wapiga kura wake wakakutuma wewe kuja kuwasemea? Kinyume cha hayo huu utakuwa Umbea.Jipange kijana
 
NN

Huyo Anna hajui matatizo yalokuwepo kabla Mdee hajashika hatamu,pia hajui namna mbunge anavotatua kero za wananchi na wala hajui jinsi gani ni vigumu kufanya kazi ya kuwaletea wananchi maendeleo kupitia CDM wkt kilichoko madarakani ni............mpe mbunge wetu ushirikiano ACHA KUTUMIKA.Nashukuru kwa kumfafanulia japo kip
 
Nimekua najiuliza jinsi wananchi walivyo wepesi wa kudanganyika. Tangu wabuge wa CHADEMA wachaguliwe hakuna chochote walichofanya zaidi ya kupiga kelele ambazo hazitusaidii sisi wananchi.

Wanapiga kelele na kulalamika kila wakati. Mdee kafanya nini sasa jimbo la Kawe? tangu achaguliwe sijawahi hata siku moja kumuona akija japo kuongea na wananchi. Je huyu kweli ni mwakilishi wetu? au wanawakilisha mawazo yake?

Huu uwakilishi unamaana gani sasa hapa.

Wanataka wajipatie sifa ili malengo yao yatimie. Tuwe makini sana na ujanja wao.

Ndugu yangua Annael umesema kweli kabisa ili kuboresha hoja yako ungetaja na eneo la utawala ambalo wabunge wa CHADEMA wanakusanya kodi. Maendeleo yanagharamiwa na kodi; anayekusanya kodi ni CCM; walio wengi Bungeni na Halmashauri nyingi ni CCM hivyo wao ndio wanaopitisha bajeti ya matumizi ya posho za vikao badala ya maendeleo ya wananchi
 
Last edited by a moderator:

Hivi kazi ya mbunge ni nini? Huyo Mdee tangu achaguliwe hata siku moja sijamuona akija jimboni japo kuongea na wananchi. Yeye si ni mwakilishi wetu? kwanini haji kutusikiliza sisi tunasema nini badala yake anafuata mawazo ya watu walioko Kilimanjaro na hapa ni Dar.
 
Nimekupata ndugu yangu Annael kumbe Mh Mdee.........mambo huwa yanabadilika huyo si "class" yako tena ondoa mawazo kwake. Unaposema haji Jimboni sasa hivi akiwa DSM huwa analala TEMEKE au KIGAMBONI?
 
Last edited by a moderator:
Nimekua najiuliza jinsi wananchi walivyo wepesi wa kudanganyika. Tangu wabuge wa CHADEMA wachaguliwe hakuna chochote walichofanya zaidi ya kupiga kelele ambazo hazitusaidii sisi wananchi.

Wanapiga kelele na kulalamika kila wakati. Mdee kafanya nini sasa jimbo la Kawe? tangu achaguliwe sijawahi hata siku moja kumuona akija japo kuongea na wananchi. Je huyu kweli ni mwakilishi wetu? au wanawakilisha mawazo yake?

Huu uwakilishi unamaana gani sasa hapa.

Wanataka wajipatie sifa ili malengo yao yatimie. Tuwe makini sana na ujanja wao.

KWANI HUONI UDHAIFU WA ****** KWENDA KUNYWA KAHAWA NA VIBAGIA IKULU??

KWANI MAISHA BORA NI KUPIGA PICHA NA KINA 50CENTS NA RIHANA??????

:sad:
 
KWANI HUONI UDHAIFU WA ****** KWENDA KUNYWA KAHAWA NA VIBAGIA IKULU??

KWANI MAISHA BORA NI KUPIGA PICHA NA KINA 50CENTS NA RIHANA??????

:sad:

Wewe umasikini na ufukara wako usikufanye ushindwe hata kufikilia.
 
Back
Top Bottom