Mambo makubwa waliofanya wabunge wa CHADEMA majimboni kwao | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mambo makubwa waliofanya wabunge wa CHADEMA majimboni kwao

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Annael, Jun 18, 2012.

 1. Annael

  Annael JF-Expert Member

  #1
  Jun 18, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 13,370
  Likes Received: 10,461
  Trophy Points: 280
  Nimekua najiuliza jinsi wananchi walivyo wepesi wa kudanganyika. Tangu wabuge wa CHADEMA wachaguliwe hakuna chochote walichofanya zaidi ya kupiga kelele ambazo hazitusaidii sisi wananchi.

  Wanapiga kelele na kulalamika kila wakati. Mdee kafanya nini sasa jimbo la Kawe? tangu achaguliwe sijawahi hata siku moja kumuona akija japo kuongea na wananchi. Je huyu kweli ni mwakilishi wetu? au wanawakilisha mawazo yake?

  Huu uwakilishi unamaana gani sasa hapa.

  Wanataka wajipatie sifa ili malengo yao yatimie. Tuwe makini sana na ujanja wao.
   
 2. mashami

  mashami Senior Member

  #2
  Jun 18, 2012
  Joined: May 8, 2012
  Messages: 183
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  gamba @work
  T2015CDM bora upande mapema mwenyewe kuliko likuache kama makapi halitakua na sehemu ya kudandia milango ikifungwa haitafunguliwa kamwe!
   
 3. J

  JACADUOGO2. JF-Expert Member

  #3
  Jun 18, 2012
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 930
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Kwani hao Mafisadi na Magamba waliokaa zaidi ya miaka 50 ya UHUNI wamefanya nini tofauti na ufisadi? Usikubali tu kila wakati kutumiwa na Mafisadi kuja kupima upepo hapa jf!
   
 4. Nicas Mtei

  Nicas Mtei JF-Expert Member

  #4
  Jun 18, 2012
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 11,569
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  Hvi we Anna unajua uksemacho? Ulitaka Mbunge akufuate nyumban kwako?
  Ficha upumbavu wako, Usifiche busara zako.
   
 5. m

  mamajack JF-Expert Member

  #5
  Jun 18, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 1,162
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Mwehu kweli wewe,pesa mmezishikilia unataka uone maajabu gani.sikiliza bunge uone wanavyohaha hao mafisadi.
   
 6. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #6
  Jun 18, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Kazi waliyoifanya wabunge wa chadema ni kubwa kuliko unavyofikiri.
  pamoja na kwamba chadema haina serikali, kelele za wabunge wake imesaidia serikali legelege ya kikwete kuact.
  Kuhusu jimbo la kawa, unatakiwa utuwekee Halima aliahidi nini wakati wa kampeni, na hajatekeleza nini.
  Wabunge wa chadema wapo 48 bungeni, unasema wanapiga kelele.
  Hebu tuambie wabunge wa ccm nani ametekeleza ahadi zake!
  Upumbavu wa kurithishwa ni mbaya sana
   
 7. K

  Kimbito nyama Senior Member

  #7
  Jun 18, 2012
  Joined: Apr 10, 2012
  Messages: 157
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wewe uko jimbo gani? ulikuwa na matarajio gani? yamefanyika kwa kiwango gani? unafiriki ni nini kikwazo? kwa mtizamo wako binafsi undhani ni kwa vipi matarajio yako yana/ngeweza kutekelezeka? ukiweza kujibu angalau 50% ya maswali haya nitaku-rank kwenye kundi la Mwgulu Mchemba.
   
 8. Mkubwa ndevu

  Mkubwa ndevu JF-Expert Member

  #8
  Jun 18, 2012
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 755
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 45
  kweli mtibani znz uamsho bara cdm
   
 9. K

  Kimbito nyama Senior Member

  #9
  Jun 18, 2012
  Joined: Apr 10, 2012
  Messages: 157
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nyongeza: kwa taarifa tu mimi naishi Jimbo la Kawe na Mdee amefanya mikutano maeneo yafuatayo na kushirikiana na wananchi katika maendeleo kama shule - Kata ya kunduchi alifanya mkutano mwezi wa 12 mwaka jana alichangia 6,000,000 kwa ajili ya ujenzi wa fensi shule ya Mtakuja, kata ya Bunju alifanya mkutano mwezi wa pili wenyeviti wa mtaa wa ccm wakakataa kuhudhuria lakini wanachi wakaja wengi akaweka mikakati kadhaa ( siitaji ili nione majibu yako kwanza), Kata ya Mbweni alifanya mkutano mwezi wa nne, ulitaka akupigie simu?
   
 10. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #10
  Jun 18, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  bajeti ya serikali ya ccm ni tr 15.
  deni la taifa ni tr 22.
  gharama za kuiendesha serikali ni tr 10.
  upo anael?
   
 11. Gwalihenzi

  Gwalihenzi JF-Expert Member

  #11
  Jun 18, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 5,117
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  Annael, uwe unaishirikisha akili yako unapotoa mchango wako hapa jamvini, wacha kutuletea mawazo ya kishabiki. Ninani mwenye serikali? ninani anayekusanya kodi? akishakusanya kodi anazitumiaje kuleta maendeleo kwa wananchi?Wabunge wa CCM wameleta kitu gani tangu wamechaguliwa? Nakuonea huruma kwakuwa hata hujui kazi za wabunge ni zipi!
   
 12. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #12
  Jun 18, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 554
  Trophy Points: 280
  Mkuu, tuachie nafasi ya kufuatilia bunge basi, sio vizuri kuendekeza njaa muda wote, muambieni nape awaweke kwenye permanent payroll haya malipo ya posho ndio chanzo cha ubize wote huu.
   
 13. R

  RC. JF-Expert Member

  #13
  Jun 18, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 446
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Acha upofu wako kwani wewe ulitaka aje kuzungumza na wewe hapo nyumbani kwako?acha hizo nenda kapige mswaki!
   
 14. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #14
  Jun 18, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,202
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Hizo ndio Tittle alizopangiwa na Nape hana mpya
   
 15. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #15
  Jun 18, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,212
  Likes Received: 10,557
  Trophy Points: 280
  We naona unauharo kweli.
  Juzi Juzi nimetoka kumsikiliza mheshimiwa Halima mdee pale viwanja vya Namanga Msasani! Hivi mnalipwa sh. ngapi kuja kueneza uongo au huwa Nape hawapi update kabla hamajaja hapa?
   
 16. SILENT ACtOR

  SILENT ACtOR JF-Expert Member

  #16
  Jun 18, 2012
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 618
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  Tueleze kwanza mafanikio ya ccM kabla ya kudandia gari la CDM
   
 17. MwanaHaki

  MwanaHaki R I P

  #17
  Jun 18, 2012
  Joined: Oct 17, 2006
  Messages: 2,403
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 145

  Annael,

  Ulienda shule au wewe kilaza?

  Kama ni kudanganyika, basi wewe wa kwanza.

  Jifunze kufuata kilicho nyuma ya pazia. Kama hujui nini kazi ya Wabunge, uliza, kwani kuuliza SI UJINGA!
   
 18. MwanaHaki

  MwanaHaki R I P

  #18
  Jun 18, 2012
  Joined: Oct 17, 2006
  Messages: 2,403
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 145
  Annael,

  Ulienda shule au wewe kilaza?

  Kama ni kudanganyika, basi wewe wa kwanza.

  Jifunze kufuata kilicho nyuma ya pazia. Kama hujui nini kazi ya Wabunge, uliza, kwani kuuliza SI UJINGA!
   
 19. Graph Theory

  Graph Theory JF-Expert Member

  #19
  Jun 18, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,809
  Likes Received: 1,129
  Trophy Points: 280
  HAJATUMWA ila anasema jambo lililo dhahiri.
  The unseen is illustrated by the seen.
   
 20. G

  Galaticos Member

  #20
  Jun 18, 2012
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 81
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Naona ana matatizo ya kufikiri..kwani hao wabunge wa magamba wamefanya nini?.....think before you open your mouth....
   
Loading...