Uchaguzi 2020 Mambo makubwa matatu ambayo Bernad Camilius Membe anamzidi Tundu Antipas Lissu!

Binafsi niliona kuanguka kwa BM ni pale alipo amua kurusha karata yake kwenye chama cha Zitto.
Nikimsikiliza sana BM namuelewa kana kwamba hana ajenda ya maana zaidi ya kujipambanua kwamba JPM anapashwa afanye mabadiliko ambayo hata yeye BM aliyaishi kipindi akiwa kwenye system.
Sasa ulitaka aende chama gani mkuu
 
Mosi, Membe ni mwana diplomasia aliyebobea

Pili, Membe mwana intelejensia

Tatu, Membe ni mwana seminari

Hayo maeneo matatu hutoa watu wenye maono hata kama unaangukia kwenye kundi moja kati ya hayo.

Maendeleo hayana vyama!
Wewe sema tu unamsema JPM kupitia mgongo wa Lissu shauri yako utatekwa
 
Mosi, Membe ni mwana diplomasia aliyebobea

Pili, Membe mwana intelejensia

Tatu, Membe ni mwana seminari

Hayo maeneo matatu hutoa watu wenye maono hata kama unaangukia kwenye kundi moja kati ya hayo.

Maendeleo hayana vyama!
Membe hakufaa na hafai,lissu alifaa but nilimtoa akilini tangu aliposimama na acacia(nilitilia hofu uzalendo wake),2025-twende na Jacob-namuona jasiri,msimamizi na mtekelezaji maono,hayumbishwi,yupo makini.-nyalandu hafai akaongoze marekani
 
membe hayupo masikioni wala moyoni mwa mtu yoyote labda wanaccm waliojeruhiwa
 
Mosi, Membe ni mwana diplomasia aliyebobea

Pili, Membe mwana intelejensia

Tatu, Membe ni mwana seminari

Hayo maeneo matatu hutoa watu wenye maono hata kama unaangukia kwenye kundi moja kati ya hayo.

Maendeleo hayana vyama!
Vigezo vya kipumbavu. Eti mwanaseminari. Kwani anakuja kuongoza kanisa? Kigezo cha udini? Kwa kigezo hicho tu kura yangu hana. #Lissu forever
 
Acha kutupotezea muda......... Acha membe afanye kazi aliyojia upinzani alafu January a naomba radhi anarudi ccm.....

LISSU is far better than magufuli than membe
 
Mosi, Membe ni mwana diplomasia aliyebobea

Pili, Membe mwana intelejensia

Tatu, Membe ni mwana seminari

Hayo maeneo matatu hutoa watu wenye maono hata kama unaangukia kwenye kundi moja kati ya hayo.

Maendeleo hayana vyama!
Umenikumbusha digrii nne za Mwakyembe vile wajumbe wa darasa la saba walivyo mtenda
 
Mosi, Membe ni mwana diplomasia aliyebobea

Pili, Membe mwana intelejensia

Tatu, Membe ni mwana seminari

Hayo maeneo matatu hutoa watu wenye maono hata kama unaangukia kwenye kundi moja kati ya hayo.

Maendeleo hayana vyama!
Sawa Yohana Mbatizaji ila mwambie Boss wako kwamba Maendeleo hayana vyama.
 
Back
Top Bottom