Mkwavingwa
Member
- Jul 26, 2020
- 87
- 37
Ndio maana halisi ya African politicsKundini at arudi baada ya kumaliza kazi ya kuchezea akili za upinzani. Safari hii hakutumwa Waziri Mkuu Mstaafu ametumwa kachero mbobezi.
Ndio maana halisi ya African politicsKundini at arudi baada ya kumaliza kazi ya kuchezea akili za upinzani. Safari hii hakutumwa Waziri Mkuu Mstaafu ametumwa kachero mbobezi.
Bahati nzuri hata Zitto Kabwe anajua kabisa huyu mtu hawezi kushinda uchaguzi ila wanabank on possibility of winning a few extra seats za ubunge huko anakotoka MembeKundini at arudi baada ya kumaliza kazi ya kuchezea akili za upinzani.
Kama mwana diplomasia mbobezi ndo yuko vile! Basi ni hatari Sana kwa nchi yetuMosi, Membe ni mwana diplomasia aliyebobea
Pili, Membe mwana intelejensia
Tatu, Membe ni mwana seminari
Hayo maeneo matatu hutoa watu wenye maono hata kama unaangukia kwenye kundi moja kati ya hayo.
Maendeleo hayana vyama!
Tatizo kule kusini wanaojua kusoma na kuandika si wengi sana. Wengi wanaomba msaada wa wahudumu wakati wa kupiga kura, wanaishia kuonyeshwa kuweka alama kwa mgombea wa CCM.Bahati nzuri hata Zitto Kabwe anajua kabisa huyu mtu hawezi kushinda uchaguzi ila wanabank on possibility of winning a few extra seats za ubunge huko anakotoka Membe
CHADEMA wasikubali kabisa kumuunga mkono huyu mamluki. Hana sifa wala hapendwi
Kata anakoishi Membe diwani anatokea Chadema!Tatizo kule kusini wanaojua kusoma na kuandika si wengi sana. Wengi wanaomba msaada wa wahudumu wakati wa kupiga kura, wanaishia kuonyeshwa kuweka alama kwa mgombea wa CCM.
Nilimshangaa Membe aliposema maelfu watamfuata huko kwenye chama chao uchwaraMembe amebaki kuwa mgombea wa kwenye mitandao,sijui hata akigombea ubunge kama atashinda.
Membe atawashangazeni sana Chadema!Nilimshangaa Membe aliposema maelfu watamfuata huko kwenye chama chao uchwara
Jo sometimes hebu pumzika kidogo...kuna maisha nje ya siasa..na unacholipwa ni chiken feed
Nyie chekeni tu ......mtalia huko mbele.😂😂😂😂😂 nasikia mbali ya buku 7 kuna bonus pia jamaa analala nayo mbele pia 😜
Nyie chekeni tu ......mtalia huko mbele.
Mwenyekiti wa NEC amesisitiza muwe makini msije kulaumu mtu mbele ya safari!
Kwani issue ni sera au kupendwa, unajiita consultant kisha una spelt nonsense, kupendwa alipendwa Lowasa na umamluki wake kisha Chuma cha pua JPM kikamkalisha na mijihela yake aliyowahonga kina mbowe hadi huyo LISU wako akatepeta kwa aibuBahati nzuri hata Zitto Kabwe anajua kabisa huyu mtu hawezi kushinda uchaguzi ila wanabank on possibility of winning a few extra seats za ubunge huko anakotoka Membe
CHADEMA wasikubali kabisa kumuunga mkono huyu mamluki. Hana sifa wala hapendwi
Ujinga wa ccm unajulikana wazi hamtoki mwaka huu.Mosi, Membe ni mwana diplomasia aliyebobea
Pili, Membe mwana intelejensia
Tatu, Membe ni mwana seminari
Hayo maeneo matatu hutoa watu wenye maono hata kama unaangukia kwenye kundi moja kati ya hayo.
Maendeleo hayana vyama!
Mwinyi alikuwa na sifa ipi kati ya hizo?Mosi, Membe ni mwana diplomasia aliyebobea
Pili, Membe mwana intelejensia
Tatu, Membe ni mwana seminari
Hayo maeneo matatu hutoa watu wenye maono hata kama unaangukia kwenye kundi moja kati ya hayo.
Maendeleo hayana vyama!
HahahahaEeeeh…...usitufokee bana…..tupishe huko…..