Mambo kumi yaliyotikisa kesi ya Jamhuri v Mbowe haya hapa

Katika kesi ya shujaa wa siasa za Tanzania yapo mambo kumi yanayosisimua nakuonyesha aina ya binadamu tunaokutana nao misikitini na makanisani walivyo na roho za kikatili, ntaeleza kwa mfumo wa count down
1. Kielelezo kinatoka store ya Mahakama kinafika kwa wakili wa serikali na Kisha kwa shahidi na Mahakama haishtuki inaona Jambo la kawaida

2. Sahidi anaingia kizimbani kutoa ushahidi akiwa na simu, kalamu na diary bila mahakama kusema chochote na anaposhtukiwa mahakama inachukua diary inaahirisha kesi itasikiliza madhara ya hiyo diary jumatatu

3. Jaji anachukua diary ya shahidi bila kutaka kuweka rekodi kwa pande zote kwamba diary hiyo ilikuwa imeandikwa Nini na vilivyoandikwa humo ndani vinaathiri vipi kesi inaypendelea? Anapoulizwa kuhusu custody ya diary hiyo anasema itabaki mahakamani bila kufafanua ameichukua kwa sheria ipi na je anahakikishiaje mahakama na Mawakili wa pande zote kwamba jumatatu atakuja na diary aliyochukua mahakamani?

4. Naibu Msajili wa Mahakama anamwita Constable wa Polisi anamkabidhi nakala y barua itakayotumika kwenye kesi kama ushahidi bila kuonyesha kwamba Ni kwanini kwa cheo chake afanye kazi za maafisa masijala? Tunatambua wazi kwamba barua hazitoki mikononi mwa Msajili kwenda kwenye ofisi au taasisi au mtu binafsi bali zinapita masijala, unajiuliza hii ya leo imetokeaje?

5. Ni katika kesi hii ambapo majaji wote wanaosikiliza awafanyi maamuzi bila kujipa break ya muda flani

6. Ni katika kesi ambapo Jaji anakiuka maamuzi yake Mwenyewe lakini majaji wawili wanatoa maamuzi nyeti kwa kusukumwa na hisia binafsi

7. Ni katika kesi hii ambapo watuhumiwa watatu Kati ya wanane walitoa maelezo kwa ridhaa yao huku wakikataa kuita ndugu Wala jamaa lakini wakati wa kesi wameweka Mawakili.

8. Ni katika kesi hii unashuudia asilimia zaidi ya 90 ya mashahidi wanatoka chombo kimoja Cha seriakali ambacho kilituhumu, kikakamata, kikahoji na kuandaa ushahidi

9. Ni katika kesi hii unamkuta mkuu wa mkoa wa Arusha na Wilaya pamoja na vijana wao wanaondoka mkoani kwao wanakwenda kufanya- kazi mikoa mingine kwa kuaminiwa lakini watu hao awajawahi kubaini uhalifu uliokuwa unafanywa na sabaya katika eneo lao kazi.

10. Ni katika kesi hii ambapo aliyedai kutaka kudhurika kwa Sasa Ni mfungwa wa miaka 30 na aliyehusika kukamata ( Jumanne) amesimamishwa kazi kwa kuweka jino la tembo nyumbani kwa retired seniour officer wa serikali na mwakilishi wa nchi yetu kwenye mashirika ya kimataifa na baada ya kuweka meno nyara kwa kumbambikia wakamwelekeza awape milioni Mia moja na hata baada ya siri kufichuka hakuna hatua za kisheria zilizochukuliwa dhidi yake.

Thats my top ten issues kwenye kesi hii hadi Sasa.
CCM is in the moribund stage of its life time.
 
Mkuu umesahau Mama Pendo kukumbuka namba ya bastola ila Njagu Jumanne hakumbuki namba ya bastola...na pia kituo cha Mbweni kuonekana pana usalama zaidi kuliko Central polisi.
 
Ni katika kesi hii unashuudia asilimia zaidi ya 90 ya mashahidi wanatoka chombo kimoja Cha seriakali ambacho kilituhumu, kikakamata, kikahoji na kuandaa ushahidi
 
Jaji ameshapoteza utulivu mpaka sasa maana anaitia mahakama aibu kwa kukubali kufuata maagizo ya kihuni ya serikali. Nashangaa jaji anamrudishia shahidi wa jamuhuri simu kwa kisingizo cha privacy, lakini police huwa wanachukua simu za watu na hawawarudishii mpaka mivutano ianze.
Yaelekea Jaji alikuwa akiwasiliana na Shahidi yule.
 
Katika kesi ya shujaa wa siasa za Tanzania yapo mambo kumi yanayosisimua nakuonyesha aina ya binadamu tunaokutana nao misikitini na makanisani walivyo na roho za kikatili, ntaeleza kwa mfumo wa count down
1. Kielelezo kinatoka store ya Mahakama kinafika kwa wakili wa serikali na Kisha kwa shahidi na Mahakama haishtuki inaona Jambo la kawaida

2. Sahidi anaingia kizimbani kutoa ushahidi akiwa na simu, kalamu na diary bila mahakama kusema chochote na anaposhtukiwa mahakama inachukua diary inaahirisha kesi itasikiliza madhara ya hiyo diary jumatatu

3. Jaji anachukua diary ya shahidi bila kutaka kuweka rekodi kwa pande zote kwamba diary hiyo ilikuwa imeandikwa Nini na vilivyoandikwa humo ndani vinaathiri vipi kesi inaypendelea? Anapoulizwa kuhusu custody ya diary hiyo anasema itabaki mahakamani bila kufafanua ameichukua kwa sheria ipi na je anahakikishiaje mahakama na Mawakili wa pande zote kwamba jumatatu atakuja na diary aliyochukua mahakamani?

4. Naibu Msajili wa Mahakama anamwita Constable wa Polisi anamkabidhi nakala y barua itakayotumika kwenye kesi kama ushahidi bila kuonyesha kwamba Ni kwanini kwa cheo chake afanye kazi za maafisa masijala? Tunatambua wazi kwamba barua hazitoki mikononi mwa Msajili kwenda kwenye ofisi au taasisi au mtu binafsi bali zinapita masijala, unajiuliza hii ya leo imetokeaje?

5. Ni katika kesi hii ambapo majaji wote wanaosikiliza awafanyi maamuzi bila kujipa break ya muda flani

6. Ni katika kesi ambapo Jaji anakiuka maamuzi yake Mwenyewe lakini majaji wawili wanatoa maamuzi nyeti kwa kusukumwa na hisia binafsi

7. Ni katika kesi hii ambapo watuhumiwa watatu Kati ya wanane walitoa maelezo kwa ridhaa yao huku wakikataa kuita ndugu Wala jamaa lakini wakati wa kesi wameweka Mawakili.

8. Ni katika kesi hii unashuudia asilimia zaidi ya 90 ya mashahidi wanatoka chombo kimoja Cha seriakali ambacho kilituhumu, kikakamata, kikahoji na kuandaa ushahidi

9. Ni katika kesi hii unamkuta mkuu wa mkoa wa Arusha na Wilaya pamoja na vijana wao wanaondoka mkoani kwao wanakwenda kufanya- kazi mikoa mingine kwa kuaminiwa lakini watu hao awajawahi kubaini uhalifu uliokuwa unafanywa na sabaya katika eneo lao kazi.

10. Ni katika kesi hii ambapo aliyedai kutaka kudhurika kwa Sasa Ni mfungwa wa miaka 30 na aliyehusika kukamata ( Jumanne) amesimamishwa kazi kwa kuweka jino la tembo nyumbani kwa retired seniour officer wa serikali na mwakilishi wa nchi yetu kwenye mashirika ya kimataifa na baada ya kuweka meno nyara kwa kumbambikia wakamwelekeza awape milioni Mia moja na hata baada ya siri kufichuka hakuna hatua za kisheria zilizochukuliwa dhidi yake.

Thats my top ten issues kwenye kesi hii hadi Sasa.
Nimepitia hoja zako kwa umakini na nimezielewa ingawa sikubaliani nazo na nazipinga kwa nguvu kubwa sana kutokana na sababu zifuatazo:-

a) Kuhusu kielelezo ni kwamba Mahakama ilishituka na ndiyo maana Jaji Tiganga alitoa uamuzi wa kukataa kile kielelezo. Hivyo acheni kupenda kutupia lawama Mahakama kwa kila jambo.

b) Mahakama haikumtuma Jumanne au Sabaya kufanya yaliyofanyika. Kwanini lawama zirudi kwa Mahakama?

c) Mahakama imetenda haki kwa kumfunga Sabaya miaka 30 kwa makosa aliyoyatenda akijificha katika mgongo wa kutekeleza majukumu aliyoagizwa na Rais wa Nchi.

d) Kuhusu shahidi kuwa na Diary na simu ni kwamba Mahakama ilishituka na ndiyo maana ilichukua ile Diary na kuwaomba Mawakili wa pande mbili wakafanye utafiti juu ya hilo jambo na watafanya wasilisho juu ya hilo jambo tarehe 15.11.2021. Ulitaka Mahakama ikurupuke kutoa uamuzi kama unavyomhukumu mpenzi wako?

d) Tuache Mahakama ifanye kazi yake na siyo kuleta hisia za ajabu.
 
Katika kesi ya shujaa wa siasa za Tanzania yapo mambo kumi yanayosisimua nakuonyesha aina ya binadamu tunaokutana nao misikitini na makanisani walivyo na roho za kikatili, ntaeleza kwa mfumo wa count down
1. Kielelezo kinatoka store ya Mahakama kinafika kwa wakili wa serikali na Kisha kwa shahidi na Mahakama haishtuki inaona Jambo la kawaida

2. Sahidi anaingia kizimbani kutoa ushahidi akiwa na simu, kalamu na diary bila mahakama kusema chochote na anaposhtukiwa mahakama inachukua diary inaahirisha kesi itasikiliza madhara ya hiyo diary jumatatu

3. Jaji anachukua diary ya shahidi bila kutaka kuweka rekodi kwa pande zote kwamba diary hiyo ilikuwa imeandikwa Nini na vilivyoandikwa humo ndani vinaathiri vipi kesi inaypendelea? Anapoulizwa kuhusu custody ya diary hiyo anasema itabaki mahakamani bila kufafanua ameichukua kwa sheria ipi na je anahakikishiaje mahakama na Mawakili wa pande zote kwamba jumatatu atakuja na diary aliyochukua mahakamani?

4. Naibu Msajili wa Mahakama anamwita Constable wa Polisi anamkabidhi nakala y barua itakayotumika kwenye kesi kama ushahidi bila kuonyesha kwamba Ni kwanini kwa cheo chake afanye kazi za maafisa masijala? Tunatambua wazi kwamba barua hazitoki mikononi mwa Msajili kwenda kwenye ofisi au taasisi au mtu binafsi bali zinapita masijala, unajiuliza hii ya leo imetokeaje?

5. Ni katika kesi hii ambapo majaji wote wanaosikiliza awafanyi maamuzi bila kujipa break ya muda flani

6. Ni katika kesi ambapo Jaji anakiuka maamuzi yake Mwenyewe lakini majaji wawili wanatoa maamuzi nyeti kwa kusukumwa na hisia binafsi

7. Ni katika kesi hii ambapo watuhumiwa watatu Kati ya wanane walitoa maelezo kwa ridhaa yao huku wakikataa kuita ndugu Wala jamaa lakini wakati wa kesi wameweka Mawakili.

8. Ni katika kesi hii unashuudia asilimia zaidi ya 90 ya mashahidi wanatoka chombo kimoja Cha seriakali ambacho kilituhumu, kikakamata, kikahoji na kuandaa ushahidi

9. Ni katika kesi hii unamkuta mkuu wa mkoa wa Arusha na Wilaya pamoja na vijana wao wanaondoka mkoani kwao wanakwenda kufanya- kazi mikoa mingine kwa kuaminiwa lakini watu hao awajawahi kubaini uhalifu uliokuwa unafanywa na sabaya katika eneo lao kazi.

10. Ni katika kesi hii ambapo aliyedai kutaka kudhurika kwa Sasa Ni mfungwa wa miaka 30 na aliyehusika kukamata ( Jumanne) amesimamishwa kazi kwa kuweka jino la tembo nyumbani kwa retired seniour officer wa serikali na mwakilishi wa nchi yetu kwenye mashirika ya kimataifa na baada ya kuweka meno nyara kwa kumbambikia wakamwelekeza awape milioni Mia moja na hata baada ya siri kufichuka hakuna hatua za kisheria zilizochukuliwa dhidi yake.

Thats my top ten issues kwenye kesi hii hadi Sasa.
Post umeenda shule
 
Back
Top Bottom