Mambo kumi usiyoyajua kuhusu marehemu Aboud Jumbe

mkuu hapo kuna ukwel wowote kuhusu umri...maana mleta mada anasema jumbe kafa akiwa na umri wa miaka 80 na wewe unasema alizaliwa mwaka1920 ikiwa na maana angekuwa na miaka takribani 96 sasa sijui inaukweli kias gani hapo
naona ujampta vzur ni iv ktabu icho alikiandka 2000 by that alikuwa na 80.
 
Mzanzibari kwa Tafsiri iliyotolewa ni mkaazi yeyote aliekuwepo Zanzibar usiku wa Mapinduzi ya January 12, 1964 ambae si Raia wa Taifa lingine lolote. Mzee Karume, Mzee Mwinyi na Mzee Jumbe hawakuwa wazaliwa wa Zanzibar na hata Mzee Hassan Nassor Moyo pia hakuwa Mzaliwa wa Zanzibar ila wote hawa wametambulika ni Wazanzibar!

Ila machotara sio ...
 
Jumbe ALIZALIWA mwaka 1920 huko MPITIMBI-Ruvuma
Wazazi wake walihamia Makunduchi Unguja toka Bara kwenye miaka ya 1925 Jumbe akiwa na miaka mi 5
Jumbe atakumbukwa kwa uwezo wake wa kupangua hoja bila kumuogopa Nyerere
Hakika alitendea haki sana elimu yake kubwa
Malafyale.
Nakubaliana na hoja zako juu ya uwezo wa jumbe hakuogopa mtu alikuwa ni muumin wa fikra huru..nyerere aliigopwa kama Mungu mtu..kuna watu walifundishwa kumuogopa yeye mpaka leo wapo hai na bado wana dhana ya unafiki kwa sababu unafiki ni matokeo ya mtu muoga..

Pumzika mzee jumbe..wew ni mwalimu tosha kwa watu wenye kuamin fikra huru
 
R.i.p Jemedari wa msimamo, hapa nimewaza sana kwanini hata mashuleni hatumsomi shujaa huyu , nazani ukiuliza watu wengi nazani wamemjua baada ya kusikia kifo chake, kwa kumbukumbu zangu za elimu sijawi simuliwa hata kufundishwa na mwalimu yoyote kuhusu shujaa huyu from chekechea to advanced level...
 
Hujasema kuwa Seif Sharif Hamad alikuwa Kiongozi wa Mayuda waliomsaliti Al hajj Aboud Jumbe Mwinyi January 1984 baada ya hoja ya Jumbe kukataliwa kuwa Ule ulikuwa Msimamo wake sio wa Wazanzibar.

Aboud Jumbe alipotakiwa kuchagua kati ya kubaki na Urais wa Zanzibar na kuachana na Msimamo wake au kuendelea na Msimamo wake avuliwe vyeo vyote basi alikubali kupoteza Urais na kubaki na Msimamo.

Usaliti ule wa Seif unamtesa na kumfanya aweweseke hadi leo mara Ukawa mara ICC mara Jumuia ya Kimataifa.

Gharama ya Usaliti inawatafuna zaid Wasaliti kuliko aliesalitiwa kiasi cha kufa Mzee Jumbe kufa akiwa Shujaa kwa kuwa na Mawazo ya Serikal 3 miaka 32 iliyopita kipindi hicho Nyumbu wengi akili zao zilikuwa zinakomea kwny kukimbiza Mwenge na kupiga Makofi.

Mungu akurehemu Mzee Jumbe umeitendea haki Miaka yako ya kuishi hapa Diniani
Hizi ni propaganda kama zile zilizotumia kumchafua ahmed salim kuwa siyo mzanzibar na nyengine nyingi..
Yaan mtu anaekubalika zanzbar ndyoo anaechafuliwa sana ili akose sifa za kuwa kwenye ile nafasi anayostahili...

mahasimu wa malim seif..walipoona kuwa malim anakubalika zanzbar haswa baada ya kuvuliwa uanachama dodoma kule..wakaona kuwa njia rahisi na nzuri ni kumchafua kwa kile kitu kinachoitwa kumchongelea mzee jumbe kwa nyerere..wakijua kuwa kiu ya zanzbar ni serikal tatu na zanzbar yenye mamlaka kamili na mzee jumbe nae akiwa mstari wa mbele juu ya hili.sasa kutofanikiwa kwa mzee jumbe kukafanya wazanzbar wamchukie kila mtu aliekwamisha nia hii nzuri ya jumbe..ndipo kitengo cha propaganda cha chama kile kikajua kuwa huu ni wakat muafaka wa kumuhusisha maalim na usaliti ili achukiwe zanzba..
Sisi tuliokuwepo zanzbar miaka ile tukishriki mambo ya chama na gvt tunajua hili...

Mungu ampumzishe jumbe mzee wetu..muumini wa fikra huru
 
Lubuva ni mhumini wa serikali 3 lakini ukimuliza sasa hv atakuambia 2
Umeongea kweli...akiwa zanzbar akiulizwa na mzee jumbe anasema tatu..haya toa maoni yako mbele ya watu ili tuweze kujenga hoja anakataa kwa kumuogopa nyerere......badae mzee jumbe alimkataa kisa unafiki huu
 
Upo sahihi sana mzee jumbe alizaliwa mwaka 1920 amekufa akiwa na umri wa miaka 96
Kinachowachanganya watu n ule usia ulioandika kuwa mzee ana miaka80
Ikumbukwe kuwa usia ule uliandikwa miaka 16 uliyopita yaani mwaka 2000 baada ya kifo cha rais mwingine mstaafu mzee idris abdul wakili

Ukwel utabaki kuwa mzee jumbe amekufa akiwa na umri wa miaka 96
Definetely..no something to add
 
Malafyale.
Nakubaliana na hoja zako juu ya uwezo wa jumbe hakuogopa mtu alikuwa ni muumin wa fikra huru..nyerere aliigopwa kama Mungu mtu..kuna watu walifundishwa kumuogopa yeye mpaka leo wapo hai na bado wana dhana ya unafiki kwa sababu unafiki ni matokeo ya mtu muoga..

Pumzika mzee jumbe..wew ni mwalimu tosha kwa watu wenye kuamin fikra huru
Jumbe January 1984 alicho sema na kufanya kimefanywa juzi tu hapa na AG wa ZNZ alipo tamka wazi kuwa yy kama AG wa ZNZ msimamo wao ni serikali 3!Mzee Jumbe alisimamia anacho amini ni kweli

Nyerere na Kamati kuu yote ilipomuuliza kama ni kweli anataka serikali 3,Mzee Jumbe bila kuogopa akasema YES na akatoa sababu nzito!

Usiku huo huo ikatangazwa hali ya hatari ZNZ;Mzee Thabit Kombo Mzanzibar mwingine mwneye msimamo nae akiwa matibabuni KCMC Moshi akawekwa chini ya ulinzi asiongee na media!

Wanafiki CCM Dar wakaitisha maandamano makubwa kumkashifu Mzee Jumbe na baadae maandamano kmq hayo yalifanyika TZ nzima na kuhutubiwa na viongozi wa kitaifa wa CCM na serikali Kwa ujumla. Nyerere mwenyewe akaongoza pambio la kumtusi Mzee Jumbe la "Jumbe analia,analia kunyonya"alipokuwa anahutubia maafisa wa JWTZ Milambo Tabora

Kwa sisi tuliokuwa wakubwa tulijionea jinsi Mzee Jumbe alivyo dhihakiwa hata alipotiwa kizuizi cha nyumbani Mji Mwema ambako hakutakiwa mtu yyt kwenda zaidi ya mkewe!

Kama kuna Jehanam nitashangaa sana siku hiyo nisipomkuta Mwl Nyerere!

Tangulia Mzee Jumbe,misimamo yako na kusimamia ulichokuwa una kiamini kimekufanya uishi kama mtumwa ndani ya nchi yako
 
Ndyoo yeye haswaa..na mzee jumbe alimtimua kwa sababu za unafiki wakr
Lkn aliyechangia sana kufukuzwa Kwa Mzee Jumbe ni Maalim Seif na Shaaban Mloo ambako walikuwa viongozi vijana kutoka ZNZ enzi hizo

Mipango yote ya Mzee Jumbe aliyokuwa akiwashirilisha jinsi ya kuandaa hoja kuondoka kwenye Muungano wa serikali 2 badala yake ziwe serikali 3 wakawa wanampelekea Nyerere!
 
Jumbe January 1984 alicho sema na kufanya kimefanywa juzi tu hapa na AG wa ZNZ alipokuwa tamka wazi kuwa yy kama AG wa ZNZ msimamo wao ni serikali 3!Mzee Jumbe alisimamia anacho amini ni kweli

Nyerere na Kamati kuu yote ilipomuuliza kama ni kweli anataka serikali 3,Mzee Jumbe bila kuogopa akasema YES na akatoa sababu nzito!

Usiku huo huo ikatangazwa hali ya hatari ZNZ;Mzee Thabit Kombo Mzanzibar mwingine mwneye msimamo nae akiwa matibabuni KCMC Moshi akawekwa chini ya ulinzi asiongee na media!

Wanafiki CCM Dar wakaitisha maandamano makubwa kumkashifu Mzee Jumbe na baadae maandamano kmq hayo yalifanyika TZ nzima na kuhutubiwa na viongozi wa kitaifa wa CCM na serikali Kwa ujumla. Nyerere mwenyewe akaongoza pambio la kumtusi Mzee Jumbe la "Jumbe analia,analia kunyonya"alipokuwa anahutubia maafisa wa JWTZ Milambo Tabora

Kwa sisi tuliokuwa wakubwa tulijionea jinsi Mzee Jumbe alivyo dhihakiwa hata alipotiwa kizuizi cha nyumbani Mji Mwema ambako hakutakiwa mtu yyt kwenda zaidi ya mkewe!

Kama kuna Jehanam nitashangaa sana siku hiyo nisipomkuta Mwl Nyerere!

Tangulia Mzee Jumbe,misimamo yako na kusimamia ulichokuwa una kiamini kimekufanya uishi kama mtumwa ndani ya nchi yako
Ahsante sana..mkuu kwa darsa lako
 
Ahsante sana..mkuu kwa darsa lako
Inaniuma sana kifo cha Mzee Jumbe!Hata hawa akiwa Maalim ambako baadae wakaja kuwa upnde wa Nyerere waliibuliwa na Mzee Jumbe

Akiwa Waziri wa Muungano ofisi ya Rais miaka ya 60 ,Mzee Jumbe ndiyo alileta maombi ya wananchi wa ZNZ nao wawe wanasoma Chuo Kikuu cha Dar

Hapo ndipo akiwa Maalim wakapata nafasi
 
Upo sahihi sana mzee jumbe alizaliwa mwaka 1920 amekufa akiwa na umri wa miaka 96
Kinachowachanganya watu n ule usia ulioandika kuwa mzee ana miaka80
Ikumbukwe kuwa usia ule uliandikwa miaka 16 uliyopita yaani mwaka 2000 baada ya kifo cha rais mwingine mstaafu mzee idris abdul wakili

Ukwel utabaki kuwa mzee jumbe amekufa akiwa na umri wa miaka 96
Hata mtoto wake kasema 96
 
Asante,kwa historia nzuri!
Serikali ya CCM haiwezi fundisha busara za Mzee Jumbe sababu anachukuliwa kama mpinzani wa Mungu Mtu wao Nyerere!

Ukionana na wazee Unguja watakuambia wazi kabisa mtu pekee ambaye alikuwa anaweza kumuambia Mzee Karume kama hapo umekosea na tufanye hivi alikuwa ni Aboud Jumbe

Alikuwa haogopi kusema ukweli hata akijua kufanya hivyo anahatarisha maisha yake
 
Back
Top Bottom