Mambo kumi usiyoyajua kuhusu marehemu Aboud Jumbe

Oooh!! Asante sana mkuu, swali langu la pili
Ikiwa baadhi ya marais waliopita walionesha dalili za kuhoji uhalali wa muungano, Je hawa marais wengne hawakutiliwa shaka kwamba na wao watakuja na madai kama hayo?
Rudi kwenye mada ya mtoa mada page namba moja.
 
Ndiyo kauli ya kwanza ya kila rais wa zanzibar wa sasa ni NITAYAENZI MAPINDUZI MATUKUFU.hii kauli kubwa sana.
Oooh!! Asante sana mkuu, swali langu la pili
Ikiwa baadhi ya marais waliopita walionesha dalili za kuhoji uhalali wa muungano, Je hawa marais wengne hawakutiliwa shaka kwamba na wao watakuja na madai kama hayo?
 
Asante, inatosha kusema kwamba wao wamerithika na muungano?

Na Je mtoto wa rais wa kwanza wa Zanzibar( Amani Abedi Karume) hakutaka kulipiza kisasi kama sio kujitoa kabsa kwenye muungano ukizingatia baba yake aliuawa kukatili na mchana kweupe?
 
Back
Top Bottom