Waswahili au wakuu wa lugha wanasema amekivaa kisiki cha mpingo. Yaani amekuja na na soo ambalo hata mshkaji au shosti anashindwa kukusaidia yaani kila mtu anakwambia hilo la kwako ukilimaliza njoo....... ndo hiyo paaaah
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.