BASIASI
JF-Expert Member
- Sep 20, 2010
- 9,735
- 5,003
NAAMINI BADO WOTE TUNAAMINI MUNGU TUNAPOWEZA KUITA VIBANDA DINI NAWAZA YAFUATAYO
1))NANI ALIERUHUSU USAJILI WA HII VIBANDA DINI
2))KWENYE MKUTANO WA SIASA SIKUZOTE TUNAONA GARI ZA WAH NDUGU ZETU POLISI JE SHIDA IKO WAPI WASIONEAKNE KWENYE HIO MIKUTANO
3))NANI ALIETOA KIBALIA CHA KONGAMANO LA MWAMPOSA PALE MOSHI
4))PALE KAWE TUNAONA KILA WANAPOKANYAGA MAFUTA TUNAONA LANDXRUISER PEMBENI YA POLISI..PENGINE N ULINZI WA SADAKA JE MOSHI SHIDA ILIKUWA WAPI KUWEPO ULINZI HASA WAKATI WA USIKU
5)MM N MPENZI SANA WA REDIO YAKE HILI LA KUKANYAGA MOSHI ALIKUWA LA KWANZA HATA KIDOGO
NNAOMBAAKUULIZA HAYO MAKONGAMANO MENGINE N NANI ALITOA KIBALI
NNA JE KULIKUWA NA SHIDA YOYOTE BAADA YA KONGAMANO
MWISHON MWA MWAKA JANA ALIKUWA ARUSHA NA TULIONA UMATI WA WATU NA WALIKANYAGA MAFUTA KAMA KAWAIDA
TUNAOMBA MUNGU AWAONGOZE KWA HILI NA MMALIZE SALAMA HUKU TUKIOMBA PALE MNAPOONA AMA KUHISI MKUTANO WA DINI BASI USAIDIWE AMA KUWEPO NA MASHARTI KABISA YA KUHAKIKISHA WAWEPO KAKA NA DADA ZANGU POLISI KWA AJILI YA USALAMA NA ULINZI WA WAPENDWA ILI ISITOKEE TENA
....KUHUSU KUKIMBIA
NAAMINI KILA.MTU ANAELEWA HATA UNAPOGONGA MTU SHERIA INAKURUHUSU KUJISALIMISHA AMA.KUKIMBIA SEHEMU ILIOSALAMA KWA AJILI YA UHAI WAKO
NAAMINI KABISA MBIO ZILE AZIKUFANYIKA KWA BAHATI MBAYA BALI KULINDA UHAI WAKE NA WATOTO WAKE WANAOHITAJI HUDUMA ZA BABA AKIWA HAI
TTUNAOMBA NA TUNAWAOMBEA MUNGU AWAONGOZE MMALIZE HAYA SALAMAA
WENU
BARIKIWA.BASIASI