Mambo Jambo Radio

The most trusted radio!
MJFM - 93.0 FM
Arusha, TANZANIA



Safi sana Mambo Jambo,hatua na kazi nzuri sana,maana Radio stations kubwa kama TBC,Radio One,RFA,Clouds FM,Kiss FM,STZ n.k wameshindwa kabisa kurusha matangazo yao mtandaoni lakini nyie mmeweza
 
Hongereni sana wana a town
Ndugu wana JF nisaidieni, nifanyeje kusikiliza MamboJambo Radio online? Niko ughaibuni na nimesoma hapa kuwa hiyo radio imetutoa kimasomaso kwa kuwa radio ya kwanza kuruka online tofauti na radio Maria (ya kidini). Nisaidieni nipate raha ya home na mimi. I miss home so much.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom