Mambo Jambo Radio

Balantanda

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2008
Messages
12,372
Likes
1,095
Points
280

Balantanda

JF-Expert Member
Joined Jul 13, 2008
12,372 1,095 280
The most trusted radio!
MJFM - 93.0 FM
Arusha, TANZANIASafi sana Mambo Jambo,hatua na kazi nzuri sana,maana Radio stations kubwa kama TBC,Radio One,RFA,Clouds FM,Kiss FM,STZ n.k wameshindwa kabisa kurusha matangazo yao mtandaoni lakini nyie mmeweza
 
Joined
Feb 16, 2010
Messages
10
Likes
0
Points
3

Golden Mean

Member
Joined Feb 16, 2010
10 0 3
Hongereni sana wana a town
Ndugu wana JF nisaidieni, nifanyeje kusikiliza MamboJambo Radio online? Niko ughaibuni na nimesoma hapa kuwa hiyo radio imetutoa kimasomaso kwa kuwa radio ya kwanza kuruka online tofauti na radio Maria (ya kidini). Nisaidieni nipate raha ya home na mimi. I miss home so much.
 

Forum statistics

Threads 1,190,287
Members 451,082
Posts 27,666,623