Mambo hutayasahau 2016,Na mambo unayotarajia 2017 jamii forums

Happy nation

JF-Expert Member
Apr 19, 2015
679
591
2016,
Watumishi hewa na vyeti bandia sito sahau,
2017
Nategemea kuona malalamiko ya upinzani humu ya kiisha,na lema kutulia.
Pia natarajia kuona wana CCM wanachama kupigwa na hali ngumu ya maisha na kuzungumza ukweli,
Naishukuru sana Jamii forums kwa kutukutanisha watu wengi wenye mawazo tofauti.
Sijui wewe mwana jamvi
 
Chadema kuuzwa na kugeuka chama kikuu cha kutetea mafisadi na wazembe duniani.


Sitasahau kabisa
 
Back
Top Bottom